HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Napenda kuchukua nafasi hii, KUMSHUKURU MUNGU, kuwashukuru ndugu zangu wote humu ndani, tunapeana faraja sana, Mimi nilikua sijui kama kuna App, nimejulia humu, nikadownload na kucheck ipoje, ikanipa MOYO zaidi kutokana na shuhuda za watu,
Kikubwa ni KUPAMBANA..

#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Hongera sana afadhali tupungue jua ni Kali mtaani
 
Tatizo wanatupotezea mda sana Yan imagine mwaka 1 unateseka na msongo wa mawazo unaishi kwa depression na much expectations alafu sasa hujui your in or not.
Mimi naona Kuna haja ya kutoa matokeo ya oral kama mchakato unachukua mda mrefu hivi
Subiri wakati wako kaka wakati wa Mungu ndio sahihi..... kama bado wameaacha watatoa subili wakati wako
 
Mpaka nahisi labda ukifanya oral inabidi utafute connection maana kha sio kwa kusubiri huku
Nilifanya oral ya kwanza mwezi wa 9 2022.
Nikafanya oral ya pili mwez wa 2 2023
Status kote app and web zinasoma selected for oral interview(kama waliopata wakatupdate)
But no placement till now.
Nikikumbuka nilipoteza kibarua changu kisa kusubiria oral Dodoma nachoka 😢😢
 
Nikikumbuka nilipoteza kibarua changu kisa kusubiria oral Dodoma nachoka [emoji22][emoji22]
Hapo bado hujakosa kama kada yenubwametoa mmoja subili wanatoa zingine
 
Mpaka nahisi labda ukifanya oral inabidi utafute connection maana kha sio kwa kusubiri huku
Nilifanya oral ya kwanza mwezi wa 9 2022.
Nikafanya oral ya pili mwez wa 2 2023
Status kote app and web zinasoma selected for oral interview(kama waliopata wakatupdate)
But no placement till now.
Nikikumbuka nilipoteza kibarua changu kisa kusubiria oral Dodoma nachoka [emoji22][emoji22]
Kuwa na subira mkuu,,kuna wiki ipo,jina litatokea,na mateso yote yataisha
 
Mpaka nahisi labda ukifanya oral inabidi utafute connection maana kha sio kwa kusubiri huku
Nilifanya oral ya kwanza mwezi wa 9 2022.
Nikafanya oral ya pili mwez wa 2 2023
Status kote app and web zinasoma selected for oral interview(kama waliopata wakatupdate)
But no placement till now.
Nikikumbuka nilipoteza kibarua changu kisa kusubiria oral Dodoma nachoka 😢😢
Mwana usikate tamaa, Mbona unaonekana kama ni mtu mwenye kukata tamaa? Usifanye hivyo, keep on Masta....Zamu yako BADO..
Mimi nilipewa hadi jina kwamba nachagua kazi, mvivu sijitumi...Ila nilimuachia MUNGU
 
Mpaka nahisi labda ukifanya oral inabidi utafute connection maana kha sio kwa kusubiri huku
Nilifanya oral ya kwanza mwezi wa 9 2022.
Nikafanya oral ya pili mwez wa 2 2023
Status kote app and web zinasoma selected for oral interview(kama waliopata wakatupdate)
But no placement till now.
Nikikumbuka nilipoteza kibarua changu kisa kusubiria oral Dodoma nachoka [emoji22][emoji22]

Mkuu amini Kuwa Mungu ni mwema wangapi ulifanya nao written ila wewe ukapita oral?
Mimi sijapata placement bado sema nina amini na ninazid kumuomba Mungu afungue milango, kwangu na kwa wenzangu umu.

Tuamini Kazi tutapata bila connection na tufute mawazo kuwa watu hupata kazi kwa kutafuta connection hii itatusaidia mentally. Cha msingi tuamini Mungu anatoa baraka, kwa wakati.

NB:Tusichoke kumuomba Mungu muda wetu pia ufike kama wengi wetu humu nasi tutatoa
shuhudia.
 
[emoji23]
Sababu hii ya kukata shule ni ya kijinga sana
Sio ya kujinga nakuambia... haiwezekani wewe uone watu wanalima hawapati na wewe unakimbilia huko. Mimi sasa hivi siwezi kumshauri mtoto wa mtu yeyote Kuhusu kusoma...mtu afanye kile anachopenda muhimu asiwe tu kibaka

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom