HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Attachments

  • Screenshot_20230722-233443.jpg
    Screenshot_20230722-233443.jpg
    141 KB · Views: 28
Kwani we unacholalamikia ni nini au unataka PSRS ifanye nini ?
Watoe placement kwa wakati na jumla kama tangazo la kazi sio mmefanya interview Moja alafu Kila mtu siku mwezi wake hapo sio sahihi.
Pia wajitahid wasitumie mda mrefu hivyo mpaka kutoa majina maana wanatumia mda mrefu sana ( mfano kazi za MDA LGA tuliaply mwaka jana may 2022 usahili tukamaliza February 2023 placement hazijakamilika Hadi Leo July 2023) hivi unaona hapo ni sahihi Ina maana mchakato utafika hata miaka 2 bado 🤔🧐🧐🧐
Kama mambo hayapo sawa au utaratibu haujakamilika bora wasubiri at least interval isiwe kubwa hv ingekua angalau miezi 6 Kila kitu kimeisha itakua afadhali au watoe matokeo ya oral.
 
Sidhani kama ipo sawa kwa maelezo yako eti wakat wako utafika. Yani sijui mnaelewa hv mfano nimekuja hospital naumwa ukanipima nikakutwa mgonjwa then utasema haya rudi nyumban unaumwa wakat wako ukifika utapona. Ndicho psrs wanachofanya sasa si bora kama taratibu hazijakamilika wasubiri ziwe sawa ili zoezi liende sambamba.
Vijana tunateseka na kupotezewa muda
Mfano psrs wasingetangaza hizo nafasi je maisha yako yangekuwaje? Mkuu fanya oral kisha potezea maisha lazima yaendelee
 
We vp kwani tuliwaomba watangaze pasipo kukamilisha taratibu. Pia ni haki yetu kwa taratibu na sheria za nchi kutoa ajira kwa wananchi wake. Serikali ni yetu sote ina wajibu sio kwamba tukae kimya as if we don't exist no serikali inapaswa kutatua hili tatizo la ajira sio kutupiana mpira na kusema tujiajiri ila hali elimu tunayopewa chuo inategemea tuajiriwe. Mbona kuanzia rais had psrs wote tumewaajiri sisi kama wananchi( principle of social contract) hvy wafanye kazi zinazolenga kuboresha na kuleta maendeleo kwa wananchi.
Pia kama wewe umepata wa kukushika mkono au umepata kitu unajishughilisha usifikiri ni rahisi kwa Kila mtu. Sio kwamba watu ni wazembe au wanachagua kazi hapana ni neema tu na bahati wengine tumetokea familia ambazo sio rahisi na ukiangalia sasa hv hali ya uchumi sio rafiki mfano hata machinga bodaboda changamoto ni nyingi
Naona niishie hapo tu
 
Kijana acha makasirikio endelea na maisha mengine kama ipo ipo tu, Kwan unauhakika gani kama umefaulu kwenye hizo oral Hadi uanze kuwalaumu hivo kama ndio wameshikilia maisha yako?

Wenzio wamefanya sahili zaidi ya kumi lkn hawajakata tamaa wala hawalalamiki wewe umeenda mbili tu kelele mtaa mzima.

Mungu ndie anayejua hatima yako, kama amekupangia kuajiriwa na serikali utaajiriwa tu kama haijapangwa utumishi hawawezi kuamua hatima yako.

Hiyo kufukizwa kazi kwenye kibarua chako cha awali ni uzembe wako tu, maana kila mtihani kuna kufaulu na kufeli, na haukuwa peke yako kwenye huo usahili ndio useme unauhakika na ulichojibu unatakiwa umshukiru Mungu wako kwa hatua hiyo aliyokufikisha huku ukiendelea na ratiba zingine, na sio kulalama na vitu havieleweki.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mpaka nahisi labda ukifanya oral inabidi utafute connection maana kha sio kwa kusubiri huku
Nilifanya oral ya kwanza mwezi wa 9 2022.
Nikafanya oral ya pili mwez wa 2 2023
Status kote app and web zinasoma selected for oral interview(kama waliopata wakatupdate)
But no placement till now.
Nikikumbuka nilipoteza kibarua changu kisa kusubiria oral Dodoma nachoka 😢😢
Pole masta,Mungu ndio anajua mapito yako brother...keep fighting bro,ukisema humu kuna watu watakukatisha tamaaa na kukuona mzembe ila hili la utumishi na mchakato nadhan kuna watu wameshapoteza matumaini kabisa na kupoteza imani na taasisi hii
 
Kijana acha makasirikio endelea na maisha mengine kama ipo ipo tu, Kwan unauhakika gani kama umefaulu kwenye hizo oral Hadi uanze kuwalaumu hivo kama ndio wameshikilia maisha yako?

Wenzio wamefanya sahili zaidi ya kumi lkn hawajakata tamaa wala hawalalamiki wewe umeenda mbili tu kelele mtaa mzima.

Mungu ndie anayejua hatima yako, kama amekupangia kuajiriwa na serikali utaajiriwa tu kama haijapangwa utumishi hawawezi kuamua hatima yako.

Hiyo kufukizwa kazi kwenye kibarua chako cha awali ni uzembe wako tu, maana kila mtihani kuna kufaulu na kufeli, na haukuwa peke yako kwenye huo usahili ndio useme unauhakika na ulichojibu unatakiwa umshukiru Mungu wako kwa hatua hiyo aliyokufikisha huku ukiendelea na ratiba zingine, na sio kulalama na vitu havieleweki.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app

Jamaa ana matatizo yani aliacha kazi kwa overconfidence yake. Unaacha vipi kazi bila kwenda kuripoti na kuanza kazi nyingine serikalini? Wenzake huwa wanaacha baada ya taratibu zote za ajira mpya kukamilika.
 
Mpaka nahisi labda ukifanya oral inabidi utafute connection maana kha sio kwa kusubiri huku
Nilifanya oral ya kwanza mwezi wa 9 2022.
Nikafanya oral ya pili mwez wa 2 2023
Status kote app and web zinasoma selected for oral interview(kama waliopata wakatupdate)
But no placement till now.
Nikikumbuka nilipoteza kibarua changu kisa kusubiria oral Dodoma nachoka [emoji22][emoji22]
Pole sana aisee!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka nahisi labda ukifanya oral inabidi utafute connection maana kha sio kwa kusubiri huku
Nilifanya oral ya kwanza mwezi wa 9 2022.
Nikafanya oral ya pili mwez wa 2 2023
Status kote app and web zinasoma selected for oral interview(kama waliopata wakatupdate)
But no placement till now.
Nikikumbuka nilipoteza kibarua changu kisa kusubiria oral Dodoma nachoka 😢
Pole sana mkuu, wakati utafika Tu utalamba asali nzuri.
 
Watoe placement kwa wakati na jumla kama tangazo la kazi sio mmefanya interview Moja alafu Kila mtu siku mwezi wake hapo sio sahihi.
Pia wajitahid wasitumie mda mrefu hivyo mpaka kutoa majina maana wanatumia mda mrefu sana ( mfano kazi za MDA LGA tuliaply mwaka jana may 2022 usahili tukamaliza February 2023 placement hazijakamilika Hadi Leo July 2023) hivi unaona hapo ni sahihi Ina maana mchakato utafika hata miaka 2 bado 🤔🧐🧐🧐
Kama mambo hayapo sawa au utaratibu haujakamilika bora wasubiri at least interval isiwe kubwa hv ingekua angalau miezi 6 Kila kitu kimeisha itakua afadhali au watoe matokeo ya oral.
Point apo ni mbili tu
1. Watoe placement kwa wakati
2. Watoe na matokeo ya oral
NA WOTE TUNAPAZA SAUTI ZETU HAPO.

Ayo mengine ni unaoneka una msongo wa mawazo tu.
PSRS haikupi wewe kazi wao jukumu lao ni kuendesha usaili na kukupangia kituo cha kazi baada ya wao kupata kibari kutoka utumishi. Hiyo MDA/LGA ni kuna taasisi nyingi ndani yake, wao(PSRS) wanatupangia vituo vya kazi kulingana na nafasi zitakazopatikana na sio kutaka eti kwakuwa mmefanya usaili February basi kazi wote mpangiwe pamoja, hilo haliwezekani, ingekuwa ni taasisi moja (mfano TPDC) basi wangewaita wote kazini kwa pamoja lakini hapo ni tofauti wataendelea kuita kidogo kidogo mpaka wakamilishe mahitaji.

UKISHAFANYA ORAL JIKEEP BUSY NA MAMBO MENGINE HUKU UKISUBURIA PLACEMENT MAANA HAKUNA ANAEJUA KAMA AMEFAULU AU LAA
 
Kijana acha makasirikio endelea na maisha mengine kama ipo ipo tu, Kwan unauhakika gani kama umefaulu kwenye hizo oral Hadi uanze kuwalaumu hivo kama ndio wameshikilia maisha yako?

Wenzio wamefanya sahili zaidi ya kumi lkn hawajakata tamaa wala hawalalamiki wewe umeenda mbili tu kelele mtaa mzima.

Mungu ndie anayejua hatima yako, kama amekupangia kuajiriwa na serikali utaajiriwa tu kama haijapangwa utumishi hawawezi kuamua hatima yako.

Hiyo kufukizwa kazi kwenye kibarua chako cha awali ni uzembe wako tu, maana kila mtihani kuna kufaulu na kufeli, na haukuwa peke yako kwenye huo usahili ndio useme unauhakika na ulichojibu unatakiwa umshukiru Mungu wako kwa hatua hiyo aliyokufikisha huku ukiendelea na ratiba zingine, na sio kulalama na vitu havieleweki.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Psrs wana matatizo sana na wanatukosea jobless wanahitaji kuchunguzwa imekua too much sio mm peke yangu nalalamika watu ni wengi na changamoto ni nyingi.
1. Nimefanya sahili mara 10 na nimefanya oral mara 2 (oral ya mwezi wa 9 placement zilitoka ila sio idadi kamili kama kwenye tangazo la kazi)
Oral ya mwezi wa 2 (LGA MDA mpaka sasa placement hazijakamilika post yetu wameitwa 2). Sasa hapa ndio utaona malalamiko yangu sio kwamba lazima nipate hiyo kazi lakin placement hazitolewi kwa wakat na wanatuacha njia panda hujui umefeli au umefaulu hapo napo ni tatizo kubwa
2. Kufukuzwa kazi kwenye kibarua changu unaweza sema ni uzembe kwa upande wako ni sawa lakini mkoa niliopo na nilienda interview pana umbali kiasi na kipato changu ni kidogo sio rahis kama wewe unavyodhani na wakat tunasubiri oral tulibadilishiwa tareh na tukawa tumeitwa interview nyingine tena hvy ikawa ngumu kuendana na muda(siku nilizoomba ruhusa) nakumbuka wakat narud nipo njian kwenye basi ndio naona nimeitwa oral interview nyingine ikanibidi nirud tena.
3. Silazimishi kama nimefaulu ili nipangwe kazi lakin tatizo placement hazijakamilika post yetu ingekua tayar wametoa zote ningeamini nimefeli hvy niache kuwafatilia. Pia kufaulu written interview ya psrs sio jambo jepesi changamoto ni nyingi had uweze kumudu kufanya usahili kwa sisi wa kipato kidogo maumivu ni makubwa na majuto mengi..
Sio kwamba tunalalamika ili watupe kazi hapana tunachoomba wafanye maboresho mchakato uwe rafiki kwa job seekers.
Matokeo ya oral ni haki yetu
 
Back
Top Bottom