HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Viwango vya posho ni vile vile ila mtazidiana kwa kuzipata hizo posho.

Ukiwa na shughuli nyingi za kukufanya upate posho hauwezi kulingana na ambaye hana shughuli nyingi za kumfanya apage posho.

Mtu wa Wizara anaweza akawa na safari za hapa na pale, hapo anapata posho ukilinganisha na yule ambahe hana visafari.
Sure
 
Baada ya chuo maisha hayana formula, wapo wanaotoboa papo hapo after Uni na wapo wanaopitia mchakato wa kawaida wa kujipata ambao maximum ni 2-5 Years.

Hili kundi la pili, kwa kawaida kuna kipindi cha mpito huwa nakiita (Post-Uni Trauma) ambapo kwa sababu ya presha ya ndani na nje utatamani kila kazi halali na utaomba kila kazi iliyo mbele yako.

Funny part about this ni kwamba, 90% ya hizo kazi hutopata, na utazopata zitaishia kuku disappoint tu maana zote zitakua nje ya expectations zako sababu uliziomba out of desperation etc.

Utashuhudia wenzio/classmates wanaanzisha familia nzuri, wengine wanapata kazi nzuri, wengine utawapoteza mazima, wengine watakua madalali ili mradi kila mtu atapambania ugali wake.

Ukipanic sana unaeza amua kurudi home kwa kipa kuchek mambo yakoje huku unaskiizia ajira za Ajira Portal kama kitu pekee cha maana unachoskiizia ambazo hata ukiitwa interview utakupa posts ni 40 na watu mpo 10,000

Mtaani kwenu utakutana na wanao mlokua na kusoma nao O level, Primary washakua na mifumo yao ya kuishi na kimsingi katika context yao washatoboa.

Wale ulowaonaga miyeyusho kwa kuzaa mapema you'll find out wamekuza na watoto wao ni wakubwa na wazuri kweli kweli. Utakata tamaa, utaichukia elimu yako, utakosa vitu vingi BUT baadae utapiga mshindo mmoja na kila kitu kitabaki history.

One good thing about education is that, inaeza chelewa kukulipa ila siku ikikulipa ni inakulipa mazima mazima na utafanya kila kitu uliwahi tamani smoothly & in a decent manner.

Tuishi hapa. By nkololo
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Halafu kuna wale ambao miaka zaidi ya hiyo mitano na wengine zaidi ya 10 wanajitafuta tu na hawajipati. Inafika mahali mtu unajiuliza kama kweli wewe ni binadamu wa kawaida kama wengine
 
Aise we acha kabsa,,
Zamani wakt bado nasoma, nilikuaga nikiona mtu kamaliza chuo afu kaa kitaa miaka mi3 bila ajira basi namuona mzembe sana..
Saizi nishaelewa.
 
Kuna wale familia inakuulizaa mbona wenzio uliosoma nao wanafanikiwa kwanini wewe pekeako maisha hayana muelekeo?
Hii n mim kbsa [emoji3], classmate wangu wa primary kapata kazi juzi tu hiz za LGA.. kila siku naulizws mbna mwenzako kapata.?

Sasa bora ilo, mbaya zaid n kwamba madogo zetu saiz wakikataa shule excuse yao wanasema "mbna kaka/dada kamaliza chuo lakn hamna anachofanya miaka nenda rudi".
Majuzi tu imenitokea hii, dogo kakataa shule anataka kucheza mpira tu, nmeumia alivyonitolea mfano mm aise. Ila nmemsupport maamuzi yake. Siku nikitoboa lazma nimwambie nilivyojisikia siku iyo alivyonitolea mfano.
 
[emoji2]
 
Haya ni madini ya uhalisia kitaa......
Baada ya chuo maisha hayana formula, wapo wanaotoboa papo hapo after Uni na wapo wanaopitia mchakato wa kawaida wa kujipata ambao maximum ni 2-5 Years.

Hili kundi la pili, kwa kawaida kuna kipindi cha mpito huwa nakiita (Post-Uni Trauma) ambapo kwa sababu ya presha ya ndani na nje utatamani kila kazi halali na utaomba kila kazi iliyo mbele yako.

Funny part about this ni kwamba, 90% ya hizo kazi hutopata, na utazopata zitaishia kuku disappoint tu maana zote zitakua nje ya expectations zako sababu uliziomba out of desperation etc.

Utashuhudia wenzio/classmates wanaanzisha familia nzuri, wengine wanapata kazi nzuri, wengine utawapoteza mazima, wengine watakua madalali ili mradi kila mtu atapambania ugali wake.

Ukipanic sana unaeza amua kurudi home kwa kipa kuchek mambo yakoje huku unaskiizia ajira za Ajira Portal kama kitu pekee cha maana unachoskiizia ambazo hata ukiitwa interview utakupa posts ni 40 na watu mpo 10,000

Mtaani kwenu utakutana na wanao mlokua na kusoma nao O level, Primary washakua na mifumo yao ya kuishi na kimsingi katika context yao washatoboa.

Wale ulowaonaga miyeyusho kwa kuzaa mapema you'll find out wamekuza na watoto wao ni wakubwa na wazuri kweli kweli. Utakata tamaa, utaichukia elimu yako, utakosa vitu vingi BUT baadae utapiga mshindo mmoja na kila kitu kitabaki history.

One good thing about education is that, inaeza chelewa kukulipa ila siku ikikulipa ni inakulipa mazima mazima na utafanya kila kitu uliwahi tamani smoothly & in a decent manner.

Tuishi hapa. By nkololo
 
Baada ya chuo maisha hayana formula, wapo wanaotoboa papo hapo after Uni na wapo wanaopitia mchakato wa kawaida wa kujipata ambao maximum ni 2-5 Years.

Hili kundi la pili, kwa kawaida kuna kipindi cha mpito huwa nakiita (Post-Uni Trauma) ambapo kwa sababu ya presha ya ndani na nje utatamani kila kazi halali na utaomba kila kazi iliyo mbele yako.

Funny part about this ni kwamba, 90% ya hizo kazi hutopata, na utazopata zitaishia kuku disappoint tu maana zote zitakua nje ya expectations zako sababu uliziomba out of desperation etc.

Utashuhudia wenzio/classmates wanaanzisha familia nzuri, wengine wanapata kazi nzuri, wengine utawapoteza mazima, wengine watakua madalali ili mradi kila mtu atapambania ugali wake.

Ukipanic sana unaeza amua kurudi home kwa kipa kuchek mambo yakoje huku unaskiizia ajira za Ajira Portal kama kitu pekee cha maana unachoskiizia ambazo hata ukiitwa interview utakupa posts ni 40 na watu mpo 10,000

Mtaani kwenu utakutana na wanao mlokua na kusoma nao O level, Primary washakua na mifumo yao ya kuishi na kimsingi katika context yao washatoboa.

Wale ulowaonaga miyeyusho kwa kuzaa mapema you'll find out wamekuza na watoto wao ni wakubwa na wazuri kweli kweli. Utakata tamaa, utaichukia elimu yako, utakosa vitu vingi BUT baadae utapiga mshindo mmoja na kila kitu kitabaki history.

One good thing about education is that, inaeza chelewa kukulipa ila siku ikikulipa ni inakulipa mazima mazima na utafanya kila kitu uliwahi tamani smoothly & in a decent manner.

Tuishi hapa. By nkololo
Kuna jamaa tulimaliza wote Olevel yeye akaondoka na Div IV ya 28 tuliokuwa tunakomaa na madesa tukaondoka na Div I, II n.k, kundi hili la Div one na two tukawa na furaha maana ilikuwa dalili ya mambo kunyooka.

Tukaenda zetu Advance asilimia kubwa kama sio wote, jamaa aliyepata Div IV ya 28 (ingawa wapo wengi waliopata four, ila huyu ni case study) yeye akaenda kusoma Certificate ya Journalism.

Wakati mimi namalizia mwaka wa mwisho chuoni, ikatokea nikaungwa kwenye kundi la WhatsApp la Olevel na jamaa tuliyekuwa pamoja chuoni na tuliyesoma wote Olevel maana tulipoteana sana tangu tuondoke shuleni.

Kwenye kundi sijakaa vizuri nikaona jamaa(huyu wa case study) anapost yupo kwenye ziara na waziri fulani akielezea/akiripoti jinsi waziri anavyofanya kazi, mara anapost yupo viunga vya bungeni anachukua documentary, mara wamesafiri abroad pamoja na waziri. Nimekuja kugundua kumbe jamaa ni Afisa Habari kwenye Wizara. Nikawa mpole nikajisemea maisha hayana formula pamoja na kuikumbuka kauli ya Mwl wangu wa Olevel aliwahi kusema "Kufaulu mtihani si kufaulu maisha"

Huyo ni mmoja miongoni mwa wengi waliofeli kuanzia Primary na Olevel ila sasa wana maisha yao yaliyosimama ukilinganisha na sisi tuliokomaa na madesa hadi Chuoni.

Hakikisha haukati tamaa kwenye kujitafuta ipo siku utapewa heshima yako na watu wa siku hizi wanaoulizaga "Siku hizi upo wapi" endapo ukiwaambia nipo BOT utapewa heshima nyingi, ila privacy ni jambo zuri sio lazima udisclose hustle zako acha wazipate kupitia watu wengine.
 
Baada ya chuo maisha hayana formula, wapo wanaotoboa papo hapo after Uni na wapo wanaopitia mchakato wa kawaida wa kujipata ambao maximum ni 2-5 Years.

Hili kundi la pili, kwa kawaida kuna kipindi cha mpito huwa nakiita (Post-Uni Trauma) ambapo kwa sababu ya presha ya ndani na nje utatamani kila kazi halali na utaomba kila kazi iliyo mbele yako.

Funny part about this ni kwamba, 90% ya hizo kazi hutopata, na utazopata zitaishia kuku disappoint tu maana zote zitakua nje ya expectations zako sababu uliziomba out of desperation etc.

Utashuhudia wenzio/classmates wanaanzisha familia nzuri, wengine wanapata kazi nzuri, wengine utawapoteza mazima, wengine watakua madalali ili mradi kila mtu atapambania ugali wake.

Ukipanic sana unaeza amua kurudi home kwa kipa kuchek mambo yakoje huku unaskiizia ajira za Ajira Portal kama kitu pekee cha maana unachoskiizia ambazo hata ukiitwa interview utakupa posts ni 40 na watu mpo 10,000

Mtaani kwenu utakutana na wanao mlokua na kusoma nao O level, Primary washakua na mifumo yao ya kuishi na kimsingi katika context yao washatoboa.

Wale ulowaonaga miyeyusho kwa kuzaa mapema you'll find out wamekuza na watoto wao ni wakubwa na wazuri kweli kweli. Utakata tamaa, utaichukia elimu yako, utakosa vitu vingi BUT baadae utapiga mshindo mmoja na kila kitu kitabaki history.

One good thing about education is that, inaeza chelewa kukulipa ila siku ikikulipa ni inakulipa mazima mazima na utafanya kila kitu uliwahi tamani smoothly & in a decent manner.

Tuishi hapa. By nkololo
Yeah!!! Mkuu..

Ipo siku tu..
 
Ndio reality ya Life mkuu ni mambo ya ridhki tu, kuchelewa au kuwahi sometimes kunasababishwa na factors nyingi ila kitu muhimu ni ku push till our last drop kimya kimya. Iman yetu inabakia kwenye ipo siku lakini iwe imani isiyochoka side hustles ziendelee tutulinda kitaa pagumu sna
 
Mimi nilipata kazi Mara baada ya kumaliza chuo 2011 nikapangiwa halmashauri moja ndani ndani huko. Mmoja wetu baada ya form six hakwenda chuo baada ya kukosa mkopo alikaa mtaani akapigika kidogo na sisi tuliopata kazi tulijiona tumetoboa. Ninavyotype hapa jamaa yule ni Captain JWTZ. Akikusanya posho zake ndio mishahara yetu mbuzi ya halmashauri
 
Lizika na ulicho nacho kweny maisha hatuwezi KULINGANA ...kuna watu waliingia kweny siasa nao ni madac,ras, wakuu wa wilaya, wabunge n.k hao
 
Mimi nilipata kazi Mara baada ya kumaliza chuo 2011 nikapangiwa halmashauri moja ndani ndani huko. Mmoja wetu baada ya form six hakwenda chuo baada ya kukosa mkopo alikaa mtaani akapigika kidogo na sisi tuliopata kazi tulijiona tumetoboa. Ninavyotype hapa jamaa yule ni Captain JWTZ. Akikusanya posho zake ndio mishahara yetu mbuzi ya halmashauri
Yeah!! JW Kuna maisha sana.
 
Back
Top Bottom