HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Amesema hapo yeye alikua SELECTED FOR ORAL both kwa web na App 🤣🤣🤣🤣
Ni kweli mkuu kwani shida ipo wapi, kupata na kukosa ni mipango ya mungu

Mimi kwangu
App: not selected for oral
Web: selected for oral

Nikikosa haina shida nitajipanga upya nikipata nitamshukuru mungu.
Hongera wewe ambaye kwako iko vizuri.
 
Mwamba ww usibabaike na hizo status waga hazieleweki ww kikubwa sikilizia pdf tu kama ipo ipo tu hakuna wa kupindisha mwamba.
 
Back
Top Bottom