HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ukweli ni kwamba kwa miaka ya sasa siyo anakuwa hajui kabisa ila hana uzoefu mkubwa!! Tusifumbie ukweli huu kuwa siyo kila mtu chuoni anamiliki laptop yake. Ni kweli matumizi yake amejifunza na kufaulu mtihani wake lakini kwa kutokumilikii laptop yeye binafsi bado uzoefu utakuwa ni mdogo, na kwa kutokuitumia mara kwa mara vitu vingine bado anaweza kusahau. Sasa ukimwita mtu kama huyo kuwa ni kilaza, eti kwa sababu tu amesahau namna ya kutumia excel kwa mfano kwenye kuchora graphs, au kuitumia excel kwenye data analysis utakuwa unakosea sana!!
Fact.! [emoji817]
 
Kimsingi wote mnatakiwa kujua kuwa hakuna chuo kinachotoa degree Tanzania kilicho sajiliwa na TCU ambacho mtu atamaliza degree hajasoma miccrosoft word,excel nk..... kifupi introduction to computer au ICT. Kingine mtu ajui kutumia email inawezekana vip coz inawezekanaje u apply chuo kama huna email. Ili u apply chuo unaitaji kua na email, email sio kitu cha kufundishwa darasani wadau form 4 tu wanatumia email vizur now days.
Case closed. Kwahiyo basi msitukane watu kuwa hawajui excel nk bali muelewe kuwa atakuwa anajua kidogo lkn vya advanced atajifunza as days go...
 
Tulisema humu kuwa utumishi wanajivuta mwendo wa jongoo watu wakasema utumishi anatupa kazi maskini adumu milele,sasa Tamisemi naona wao dkk 0 washamaliza mchezo sisi tunasubiri taasisi zipewe hela ndio ziajiri, something ipo wrong sehemu ila tuendelee tu
Wenzako wanalia huko unakotaja kule hakuna usaili ni kupangwa tu.Hapo kwenye kupangwa tu sasa!...au na hawa utumishi watupange tu? Nani apangwe nani aachwe?
 
Oya wadau hivi kwenye sahili za MDA na LGA oral wanauliza maswali gani sana , Proffessional based au general administration questions ?
 
Back
Top Bottom