Zipo Hombolo, tumia google itakusaidia zaidiNaomba kuuliza eti ofisi za LGTI(local government training institute ) kwa Dodoma zipo wapi ?
Mkuu unafikiri ofisini kunahitaji uwe nondo basi ya darasani utayakuta 5%. Daktari anasoma madude mengi miàka 5 ila akifika ofisini kesi nyingi malaria, UTI na mafua. Afisa hesabu akifika ofisi kuandaa Payment voucher na kusaini madokezo. Afisa Kodi madude ya darasani yanakaa pembeni anaaza kutumia formula na Sheria zilizopo. Unondo unaoutaka wewe unatumika huko Kwa Academician vyuoni na huko pia wengine wanakusomea tu PowerPoint utajua mwenyeweWhat is PSRS Oral Interview?
Refers to trying to stuff a load of information/ notes into your short-term memory .ni
😂😂😂😂😂 iko waz taasis zenyewe zilizomo zinasadifu. Hongera sana jamaa yetu ukawe mtumishi mwema.I think ni data base
Maana usaili niloufanya last year wa placement walishapata.
Nachoshukuru asali ni nzito kuliko ya direct placement[emoji2357][emoji2357]
anaejua anajua tu..Or long term memory .. I might have read that 3 years ago.
Mtu aliyejibu vizuri kiasi cha kua wa kwanza katika 5k yuko poa. Nimekwambia still atafaulu vyovyote mtihani utakavyotoka, be assured of that.
sawa. kutoka dodoma mjini hadi hombolo ni shs ngap?Zipo Hombolo, tumia google itakusaidia zaidi
Mkuu pia mimi ni mmoja wapo wanaosubiri hizo nafasi za afisa maendeleo ya jamii, kama hutajali tuchekieane tujaribu kupena mawili matatu au mbinu za kujiandaa.Nimejaribu kufatilia izi nafasi za MDA na LGA post zilizotoka tarehe 19 April tangazo lake la kuitwa kwenye usahili wameitwa wote isipokuwa afisa maendeleo ya jamii na mhudumu wa jikoni hii ina maana kuwa [emoji23][emoji23]na sisi jambo linakuja soon tujipange au?
Halafu mbona unakuta wengine kwenye ilo tangazo la kuitwa kwenye usahili unakuta wameandikiwa usahili mmoja kwa mfano unakuta tu wa mahojiano then sehemu ya usahili wa mchujo unakutwa wameandikiwa hakuna hii ina maana gan?
Na je kwa sisi watu wa maendeleo ya jamii sahili zetu zipo ngapi?
Ahsant sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iko waz taasis zenyewe zilizomo zinasadifu. Hongera sana jamaa yetu ukawe mtumishi mwema.
Sijui, ila umbali kutoka Ihumwa junction hadi LGIT ni km 26, kwa hiyo nauli inaweza kutegemea uwepo na aina ya usafiri.sawa. kutoka dodoma mjini hadi hombolo ni shs ngap?
Nicheck watsap kuna group let la maendeleo ya jamiiMkuu pia mimi ni mmoja wapo wanaosubiri hizo nafasi za afisa maendeleo ya jamii, kama hutajali tuchekieane tujaribu kupena mawili matatu au mbinu za kujiandaa.
Kwa nyongeza ni kwamba wanasema huwa zinakua interview mbili written na oral.
Ivi mkuu passport unaiattach kwenye barua au wap??Kama ulishaomba zaidi ya moja unafanya Nini au ndo nitolee. Binafsi nimeomba 2
sawa nashukur . nmeelewaSijui, ila umbali kutoka Ihumwa junction hadi LGIT ni km 26, kwa hiyo nauli inaweza kutegemea uwepo na aina ya usafiri.
Ihumwa ipo mbali kutoka mjini, ukitoka Ihumwa ndio unaelekea Mtumba.
Hongera sana mkuuAisee nami jana nmelamba asali....
Namshukuru MUNGU kwa hatua hii....
Wembe ni ule ule lkn.....kama nilivyowahi kusema na ambavyo nmekuwa nikisema kuhusu ishu ya ucheleweshwaji wa kujua hatma ya wasailiwa. Nitaendlea kuusimamia msimamo huu....wakiweza kukabiliana na tatzo kubwa hili mengine yanarekebika na vijana hawatailalamikia mno utumishi[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Nimeweka kwenye cvIvi mkuu passport unaiattach kwenye barua au wap??
Good,, nataka niattach vyeti mkuu sion wap naviweka,,, nsaidie plzzzNimeweka kwenye cv
Unganisha vyote viwe kwenye doc mojaGood,, nataka niattach vyeti mkuu sion wap naviweka,,, nsaidie plzzz
Asante,, nikienda kusearch job,, naambiwa service is unavailable,,Unganisha vyote viwe kwenye doc moja