Aisee kwaio tulioomba kazi 3 tupunguze mbili au sio [emoji24]Tusome kidogo wadhamini wetuView attachment 2650225
Aisee kwaio tulioomba kazi 3 tupunguze mbili au sio [emoji24]Tusome kidogo wadhamini wetuView attachment 2650225
This is Fake, usijaribu kuwatisha wenzako. Unaruhusiwa kuomba kulingana na sifa zako.Tusome kidogo wadhamini wetuView attachment 2650225
Hongera sana mkuu kwa kulamba asaliAisee nami jana nmelamba asali....
Namshukuru MUNGU kwa hatua hii....
Wembe ni ule ule lkn.....kama nilivyowahi kusema na ambavyo nmekuwa nikisema kuhusu ishu ya ucheleweshwaji wa kujua hatma ya wasailiwa. Nitaendlea kuusimamia msimamo huu....wakiweza kukabiliana na tatzo kubwa hili mengine yanarekebika na vijana hawatailalamikia mno utumishi[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Hawafanyi kazi siku za Jumamosi wala JumapiliNauliza ivi jmosi utumishi wanafanya kazi (masijala ya wazi)
Kama ulishaomba zaidi ya moja unafanya Nini au ndo nitolee. Binafsi nimeomba 2Tusome kidogo wadhamini wetuView attachment 2650225
Usaili wa UDSM nimekimbia......
Kuja kuchek written ,walichukua watatu tu kwenda oral kati ya 50+ ....
nikashkur Mungu nauli yangu nimesevu.
Honger sana mkuu kila la heri binafsi nakufurahia sanaAisee nami jana nmelamba asali....
Namshukuru MUNGU kwa hatua hii....
Wembe ni ule ule lkn.....kama nilivyowahi kusema na ambavyo nmekuwa nikisema kuhusu ishu ya ucheleweshwaji wa kujua hatma ya wasailiwa. Nitaendlea kuusimamia msimamo huu....wakiweza kukabiliana na tatzo kubwa hili mengine yanarekebika na vijana hawatailalamikia mno utumishi[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Hongera sana. Vipi ni data base bro? au direct placement .Aisee nami jana nmelamba asali....
Namshukuru MUNGU kwa hatua hii....
Wembe ni ule ule lkn.....kama nilivyowahi kusema na ambavyo nmekuwa nikisema kuhusu ishu ya ucheleweshwaji wa kujua hatma ya wasailiwa. Nitaendlea kuusimamia msimamo huu....wakiweza kukabiliana na tatzo kubwa hili mengine yanarekebika na vijana hawatailalamikia mno utumishi[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Nimefurahi na kupata matumaini kwani ni katika watu waliokuwa wakipush ajenda kwa nguvu na bado unaonyesha moyo wa kuendeleza harakat ili watakaofuata wasiteseke kama sisi kwa sasa.Hongera sana. Vipi ni data base bro? au direct placement .
I think ni data baseHongera sana. Vipi ni data base bro? au direct placement .
Amka saa 9 ujarbuTRA ukiapload files wanakwambia "Something bad happened, please contact aruti team"
Au tayari Kuna watu wao sisi wengine tusijisumbue
Hongera sana mkuu,I think ni data base
Maana usaili niloufanya last year wa placement walishapata.
Nachoshukuru asali ni nzito kuliko ya direct placement[emoji2357][emoji2357]
Arguments zako za kitoto sanaHujatumia akili yako kwa ufasaha badala yake umeamua kujifunga na fikra finyu zaidi.
Written, mode of question inatakiwa isiwe Direct questions, yaan maswali yalenge kujua wasailiwa wana uelewa na kila walichoulizwa?
Umetoka mfano hapo on how qn should be addressed to candidates.
Unaweza kumuuliza degree holder ataje 5 Cannon za Taxation tena direct kabisa? Kwann swali usiliweke kwa mtindo wa uelewa lkn point zikieleweka kuwa zitakuwa ndio hizohizo?
Unadhani mtu kumuuliza
1. Mention five (5) Cannon of Tax.
ni sawa na kumuuliza
2. Most of Taxpayers are much aggressive towards ability to pay tax. As a Tax Management officer, Board of Directors seeking for your assistance on abilitation of paying tax.
What are you going to suggest?
Kwenye Oral hapa tunapima, uvumilivu wa watoa huduma wetu, uelewa na namna gani tunaweza kupata watu wanaomudu kusolve ishu ngumu kwa umakini na bila upendeleo.
Lazima tubadilike kidogo ili kuleta ufanisi maeneo mbalimbali.
What is PSRS Oral Interview?Arguments zako za kitoto sana
Kwa hiyo hapo ndo umepima uelewa?
Unadhani ukiuliza swali la namna hiyo yule wa kwanza (aliyepata marks nyingi kwenye hayo maswali unayosema ni ya direct) atapata marks za chini? Make no mistake bado ataongoza yeye
Kuongoza marks kwenye watu 5k sio rahisi, lazima una kitu kichwani tena kitu cha maana tuu
Or long term memory .. I might have read that 3 years ago.What is PSRS Oral Interview?
Refers to trying to stuff a load of information/ notes into your short-term memory .
Hongera champAisee nami jana nmelamba asali....
Namshukuru MUNGU kwa hatua hii....
Wembe ni ule ule lkn.....kama nilivyowahi kusema na ambavyo nmekuwa nikisema kuhusu ishu ya ucheleweshwaji wa kujua hatma ya wasailiwa. Nitaendlea kuusimamia msimamo huu....wakiweza kukabiliana na tatzo kubwa hili mengine yanarekebika na vijana hawatailalamikia mno utumishi[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Mkuu Mbanti oral ulipiga mwezi wa ngap kaka,maana sir wengine huko bado hatujalamba asali kakaI think ni data base
Maana usaili niloufanya last year wa placement walishapata.
Nachoshukuru asali ni nzito kuliko ya direct placement[emoji2357][emoji2357]