HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
naona tunaenda pamoja my point hata darasan huwez elewa yote kwa siku moja kila kitu kinahitaji muda pia

ndio nkatolea mfano mtu upo mazingira ya kazi boss wako amekupatia kazi labda mfano tengeneza average ya data fulani kwa excel

kitendo cha kuingia you tube na ukaisolve case ukakabidhi kazi tayar unakua umejifunza hivyo hivyo utaendelea kugain taratibu kulingana na majukumu ya microsoft ofice unayopatiwa

kwaio sio jambo kabisa la kumbeza mtu mwenye degree au kumtishia kuhusu microsoft office.

hawa watoto waliosoma medium school na wanafundishwa hivyo vitu primary school kwaio ndio mana wanakua wapo vizur zaid kuliko mtoto wa kidumu na mfagio ambaye ameishika Computer Chuoni

my point mtu wa degree kama anajua kazi hizo microsoft office kwake ni minor sana.
We huelewi kitu, afu unatetea vitu vya kipumbavu, yaani mtu aliyehitimu digrii tena miaka hii asijuie kutumia PC? Kama Ms Word, Excel, PP zinakushida utaelewa mifumo ya kodi kirahisi? Utajua E-filling tena sasa ITAX haitumiki kama system ya zamani iko Online sijui ingekuwaje.
Watoto wa siku hizi wanawaza ujinga tu, mtu yuko wilayani huko atafanyaje kazi na unaona kabisa ofisi za huko watumishi ni wachache? Watoto waambiwe mnapomaliza chuo, kazini kitendea kazi ni Computer na anatakiwa kuimaster hasa kada zile zinahitaji Hesabu, Ripoti za mara kwa mara.
 
Hiz post za tra zimebadiri hali ya hewa humu,
Hadi tumefikia hatua ya kuitana vilaza humu ndani

Wakuu msaada kuna mtu nilikuwa namfanyia applocation tra. Kila kitu chake nimejaza vizuri vipengele vyote ila Bahati mbaya sana kwenye upande wa position nimeweka position isiyo sahihi na attachment ya vyeti vyote nimeattach sio vya kwake.
Mfumo wao siyo rafiki. Ukisha-click "apply", hiyo application yako huna tena "access" nayo!! Ila kabla huja-click "apply". unaweza kufuta kwa ku-click hiyo X inayoonekana hapo, kisha kuweka vyeti vyake sahihi. Nakushauri uwapigie kwa namba za msaada walizoweka hapo bila shaka watakusaidia.

Mfumo rafiki ni ule ambao unakuruhusu kufanya marekebisho, ili maadam dead line ya application bado kufika.
 
dah shuguli ipo hapa aisee
 
Wakuu msaada kuna mtu nilikuwa namfanyia applocation tra. Kila kitu chake nimejaza vizuri vipengele vyote ila Bahati mbaya sana kwenye upande wa position nimeweka position isiyo sahihi na attachment ya vyeti vyote nimeattach sio vya kwake.
Cha kukushaurii mkuu,,fungua account nyingine kwenye Email nyingine uapply upya
 
We huelewi kitu, afu unatetea vitu vya kipumbavu, yaani mtu aliyehitimu digrii tena miaka hii asijuie kutumia PC? Kama Ms Word, Excel, PP zinakushida utaelewa mifumo ya kodi kirahisi? Utajua E-filling tena sasa ITAX haitumiki kama system ya zamani iko Online sijui ingekuwaje.
Watoto wa siku hizi wanawaza ujinga tu, mtu yuko wilayani huko atafanyaje kazi na unaona kabisa ofisi za huko watumishi ni wachache? Watoto waambiwe mnapomaliza chuo, kazini kitendea kazi ni Computer na anatakiwa kuimaster hasa kada zile zinahitaji Hesabu, Ripoti za mara kwa mara.
Kwanzaa siaminii kama miaka ya Sasa hivii mtu anawezaa kumalizaa hata diploma tu eti hajuii computer tena Microsoft word,excel na power point labda kama amesomea vyuo vya uchochoronii maake inamaana kwamba Chuoni kwao hakuna assignment za kutumia kompyuta,mpaka anamalzaa mwaka wa mwisho ina maana hajafanya hata presentation,hajafanya project yeyotee??inafikirishaa saana
 
naona tunaenda pamoja my point hata darasan huwez elewa yote kwa siku moja kila kitu kinahitaji muda pia

ndio nkatolea mfano mtu upo mazingira ya kazi boss wako amekupatia kazi labda mfano tengeneza average ya data fulani kwa excel

kitendo cha kuingia you tube na ukaisolve case ukakabidhi kazi tayar unakua umejifunza hivyo hivyo utaendelea kugain taratibu kulingana na majukumu ya microsoft ofice unayopatiwa

kwaio sio jambo kabisa la kumbeza mtu mwenye degree au kumtishia kuhusu microsoft office.

hawa watoto waliosoma medium school na wanafundishwa hivyo vitu primary school kwaio ndio mana wanakua wapo vizur zaid kuliko mtoto wa kidumu na mfagio ambaye ameishika Computer Chuoni

my point mtu wa degree kama anajua kazi hizo microsoft office kwake ni minor sana.
Mtu kujisifu kujua kutumia microsoft office programs na akamdharau yule ambaye hajui (si kwamba hajui kabisa bali hana tu uzoefu mkubwa) ni sawa na mtu kujisifu kujua kuendesha gari na kuwaona wale wasiojua kuendesha gari kuwa ni vilaza!!. Lakini ukweli ni kwamba kujua kuendesha gari ni suala la muda kidogo mno kama mtu akipewa hiyo gari. Hali kadhalika within no time huyo graduate akisha kuwa exposed kwenye matumizi ya hizo microsoft office programs kila siku atazi-master within no time!!
Nikupe uzoefu wangu binafsi. Mimi nilipata shahada ya kwanza miaka ile ya themanini wakati huo hakuna cha kompyuta wala nini. Nilipoajiriwa kwenye research Institution moja hapa nchini, huko ndiko nikakutana na kompyuta. Ofisini kulikuwa na desk top, lakini pia kulikuwa na laptops ambazo mtu ukitaka unaweza ukaenda nayo na kuitumia nyumbani. Word processor iliyokuwa inatumika sana wakati huo ilikuwa inaitwa WORD STAR na PERFECT WORD. Ku-serve tulikuwa tunatumia "diskets". Spread sheet maarufu kipindi hicho ni LOTUS. Kazini tulikuwa na wazungu ambao ndio waliokuwa wamefadhili hizo kompyuta. Kama kingetumika kigezo cha kujua kompyuta ndio mtu aonekane kuwa ana akili basi tungeonekana hatuna akili. Lakini kama nilivyosema, within no time mtu angenikuta natumia laptop asingeweza kuamini kuwa siku chache zilizopita sikuwa najua chochote kuhusu kompyuta, maana vitu vyote muhimu vya kukuwezesha kufanya kazi na kompyuta nilivimudu vizuri tu.​

Naungana na wewe kuwa kwa graduate yeyote huwezi kutumia kigezo cha microsoft office kupima uwezo wake kwenye kazi maana hicho kitu ni minor sana (its just a clerical work!). Hata mtu wa darasa la saba anakielekezwa anaweza kumudu vizuri sana!! Kwenye hizo internet cafes wengi wa wanaohudumia na kuajiriwa/kujiajiri huko ni form four/form six ambao kitabu kiligoma na hawakuendelea na masomo!! Sijui tuwaite "intelectuals" maana hizo microsoft office wanacheza nazo sana!! Ulimbukeni unatesa sana, tuwasamehe bure tu hawa vijana wetu wanaowaita wenzao vilaza eti tu kwa sababu ya kutokujua matumizi ya microsoft office kwa kiwango cha juu!!​
 
Kwanzaa siaminii kama miaka ya Sasa hivii mtu anawezaa kumalizaa hata diploma tu eti hajuii computer tena Microsoft word,excel na power point labda kama amesomea vyuo vya uchochoronii maake inamaana kwamba Chuoni kwao hakuna assignment za kutumia kompyuta,mpaka anamalzaa mwaka wa mwisho ina maana hajafanya hata presentation,hajafanya project yeyotee??inafikirishaa saana
Ukweli ni kwamba kwa miaka ya sasa siyo anakuwa hajui kabisa ila hana uzoefu mkubwa!! Tusifumbie ukweli huu kuwa siyo kila mtu chuoni anamiliki laptop yake. Ni kweli matumizi yake amejifunza na kufaulu mtihani wake lakini kwa kutokumilikii laptop yeye binafsi bado uzoefu utakuwa ni mdogo, na kwa kutokuitumia mara kwa mara vitu vingine bado anaweza kusahau. Sasa ukimwita mtu kama huyo kuwa ni kilaza, eti kwa sababu tu amesahau namna ya kutumia excel kwa mfano kwenye kuchora graphs, au kuitumia excel kwenye data analysis utakuwa unakosea sana!!
 
Kukosa computer sio excuse, Vijana tupo kwenye Dunia ya kujiongeza wazee kama hujiongezi na kujielimisha VALUE yako itakuwa chini always ndio maana hata huko kwenye ma LINKEDIN wanatafutwa watu wenye profile competent hata kama ni fresh graduates.

Mimi mwajiri wewe ni candidate nataka nikuchallenge kwenye basic computer skills alafu unaniambia hukuwa na computer shule seriously?

Mwingine anasema atakuja kujifunzia ofisini, Really? yaani uje ujifunzie basic computer skills kwenye ofisi ya nani?
 
Huyo hajui kitu taasisi zote za umma aina ya usaili wanaoendesha kwa entry level huwa unafanana kwa written na oral asilimia kubwa uwa ina base kwenye maswali ya darasani, nime wahi kufanya saili za written na oral za TRA kipindi kile zinaendeshwa na chuo cha Mzumbe mfumo ulikuwa ni uleule wanaoutumia psrs, wala usidanganye uma hapa kuwa kuna saili standard, tena naweza sema kuwa saili za psrs ndio standard kwa sababu huwezi jua maswali yatakujaje lakini hizo unazosema wewe kuwa ni standard ni zile ambazo zinakaliliwa na kila mtu kuwa, kwa mfano
1. How do you handle pressure at work
2. How much are you expecting to be paid as a salary
3. What are your weakness and strength?

Sasa haya maswali ndio mtu anasema kuwa ni standard,????
[emoji23][emoji23] Graduates wetu bwana haya

Swali 'How do you handle pressure at work' ni rahisi sana kwa kulisoma ila kama unataka mtu 1 kati ya 1000 candidates utampata kwa sababu kila candidate atajibu kwa mtazamo wake lakini what you want to hear is how the BEST can a person handle pressure at work. Na ni hivyo kwa maswali yote.

Vijana lazima muelewe

Exams and GPAs measure academic achievements not knowledge. Sasa Taasisi zinataka knowledgeable candidates not just candidates.

Employers wengi wanataka independent critical thinking, reasoning, and problem-solving candidates na hawa huwezi kuwapata kwa maswali ya mention types. Ukiweza ku-demonstrate these abilities reassures them that you can handle circumstances on your own.

Otherwise Taasisi hazitaki Vilaza tena bora taasisi private sector ndio hawataki kabisa kusikia harufu ya vilaza badala ya kuchallenge jielimishe.
 
inategemea na taasisi

japo ni haki yako kisheria kulipwa
lakini kuna baadhi ya taasisi hawalipi kwa first appointment.
Habari wakuu.. naomba kujua vitu ninavyotakiwa kulipwa kwa mtu anaepangiwa kituo cha kazi, mfano mkoani Shinyanga kutokea Dar. first appointment, single, no child.. position engineer (4 yr degree)
 
mambo yote hayo yapo kwenye standing order 2009
taasis niliyopo wamesema watatupa nauli na fedha za kujikimu ila hawajasema kiasi.. nataka kujua kiasi ninachotakiwa kulipwa kwa position au sifa nilizotaja hapo juu
 
Exams and GPAs measure academic achievements not knowledge
Tupeane elimu kidogo: What is an examination? It is a tool which comprises of questions which are used as measuring instruments to measure the examinee's level of knowledge, skills, aptitude etc. Ukiona mtu anasema exams do not measure knowledge huyo ni wa kumsamehe bure tu!!
 
Hahahahha yani mpka leo bado mpo na hii mada ya interview inatakiwa iwaje.
 
Back
Top Bottom