Aisee jf Kuna Uhuru Sana Hadi wa kutetea mambo ya kipumbavu upo. A degree holder hajui PC basics? Afu unaleta habari za kutetea ..khaaaa basi niache kujibizana na weweWe jamaa kwel ni kilaza kwaio mtu asipojua ivo
We jamaa kwel ni kilaza kwaio mtu asipojua ivo vitu ni kilaza😅😅
Ndio maana Hayati alifatilia Sana baadhi ya vyuo nafikiri aliona Kuna mahali digrii za mchongo na za matukio zilikuwapo. Hahahahaa .Yaani mtu amalize degree chuo kikuu hata simple basics za computer kama ms word, Ms Excel zimshinde kweli huyo amepata degree ya mchongo kwa kweli.
acha kupotosha watu microsoft office sio kitu cha kumtishia mtu mwenye degree acha ushamba wewe hahahahahhah. ni kitu cha sekunde tu mtu kutatua anachotaka mfano mtu ana taka kufanya summation kwenye excel kama hajui akiingia youtube akauliza tu inakuja clip ya dk 1 inamuonesha anatembea tayari anagain hivyo hivyo kwa word na power point hahahahahhahahaKaka tumekaa miaka 3 hadi 4 Chuoni umeshindwa utaweza ndani ya siku 2? Tusidanganyane kaka, siwaiti hao jamaa vilaza kama anavyowaita huyo mdau, ila ni uzembe na haupaswi kutetewa.
Kila degree lazima ujifunze computer, sasa kama wenzetu hawajui hapo kwanini wasiitwe majina mabaya kiongozi wangu. Sisi tunaosaka ajira tupambane tu, tujifunze na tujue, Ms Word au Excel sio mpaka ICT/IT ni vitu common. Tuache visingizioTupe mfano degree program ipi na chuo kipi ambacho mtu hawafundishi course za computer
Sijui ubishi wa hili umeanzia wapi ila ni ukweli ulio wazi hizo Microsoft word,PPT,na Excel ni shida kwa wahitimu wengi mnoooo,mfano mzuri tu unakuta humuhumu kwenye uzi msomi wa degree anaomba sample ya barua ya kuombea kazi.acha kupotosha watu microsoft office sio kitu cha kumtishia mtu mwenye degree acha ushamba wewe hahahahahhah. ni kitu cha sekunde tu mtu kutatua anachotaka mfano mtu ana taka kufanya summation kwenye excel kama hajui akiingia youtube akauliza tu inakuja clip ya dk 1 inamuonesha anatembea tayari anagain hivyo hivyo kwa word na power point hahahahahhahaha
my advice microsoft project watu wengi wanajisahau ni nzuri sana kukuongezeeni experience inavitu vitamu sana kwa kuandaa schedules, material cost n.k
hii ndio unahitaji kutenga mda kidogo ku i catch vizuri ingawa na yenyewe ni rahisi sana pia kujifunza kwa kupitia tutorial za youtube
ni hayo tu hahahhahahaha
Full vawulensi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Uzi umepatapakaa damu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo Tanapa wameona wachukue vijana mwisho miaka 30[emoji119]
[emoji1][emoji1]Tra itawatoa roho vijana kama ilivyotaka kuniua mimi
nimekula kichapo kikali mkuu,japo bado kibuyu kinaona mkeka utakua wa taasisi nzuri sana kuliko hizi post za halmashauri za misungwi, wang'ing'ombe,meatu nkmfwende sawadogo , utabiri wako kwa wiki hii haujafanikiwa. Tusubirie wiki lijalo au weekend hii.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
naona tunaenda pamoja my point hata darasan huwez elewa yote kwa siku moja kila kitu kinahitaji muda piaSijui ubishi wa hili umeanzia wapi ila ni ukweli ulio wazi hizo Microsoft word,PPT,na Excel ni shida kwa wahitimu wengi mnoooo,mfano mzuri tu unakuta humuhumu kwenye uzi msomi wa degree anaomba sample ya barua ya kuombea kazi.
Sasa vitu simple kama hivyo mtu anakuwa hajui au hajiamini kwa anachokifanya wewe huoni hiyo ni shida??
Na hiyo kusema excel ni unajifunza kupitia youtube sijui unajifunza vitu gani hivyo maana excel inahitaji practice na uwe mchunguzi unayehitaji kujifunza zaidi.wenzetu wahindi Excel wanaisoma kama course inayobeba taaluma ndio maana wao wanaona kama maji japo na wao wanasema excel ni oana sana.excel sio kufanya summation bali inahitaji ujue vingi ili uone kuandika ripoti sio kazi kubwa otherwise hata ripoti kuandika linakuwa zoezi.
Case closed in Late le Mutuz voice