HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kumbe kuna mda kazi zinaishia received tu na kufutwa sikua najua aisee
Sasa mwaka mzima mzee umepita...ni taasisi gani uliomba?maana vocational tutor kama ni veta mwaka huu mwezi wa 4 wamefnya sas hizo za mwaka jana sijui imekuaje labda kama ni taasisi nyingine
 
Kutokujua kutumia computer huo ni uzembe binafsi Wala hausiani na kuwa kilaza. Yaani uwe hujajifunza kuendesha gari halafu upewe ushindwe waseme ni ukilaza no.
Kitabu cha makadirio kama hujawahi kukitumia huwezi pia kukadiria kwa mara ya kwanza.
Hata huko Tra mnakowatetea kuna vilaza.
Kwa kifupi ukilaza wa mtu ni WA mtu binafsi hauna uhusiano na kufanyiwa usaili na Psrs au Taasisi husika.
EXCELLENT RESPONSE.
 
ilikua ya vocational tutor agro mechanics ila niliona wengine walifanya usahili mwezi wa nne ndio maana nikauliza labda uenda io ilisahaulika
Sasa mwaka mzima mzee umepita...ni taasisi gani uliomba?maana vocational tutor kama ni veta mwaka huu mwezi wa 4 wamefnya sas hizo za mwaka jana sijui imekuaje labda kama ni taasisi nyingine
 
ilikua ya vocational tutor agro mechanics ila niliona wengine walifanya usahili mwezi wa nne ndio maana nikauliza labda uenda io ilisahaulika
Duh hapo sjjua mkuu labda walizifuta maana muda mrefu sas umepita
 
INTERVIEW ZA PSRS
wawo wameamua 85% ya maswali yao yawe objective ili ku grade raia maswali ya objective huwa yana majibu specific na hiii inatengeneza haki kuwapa watu ajira tofauti na maswali ya subjective ambayo PSRS mara nyingi hawayatumii sababu ni kuwa swali la subjective linaweza kuwa na majibu sahihi zaid ya moja mfano ukiulizwa

Why should w hire u. Kila raia atajibu kivyake na kila mtu anaweza kuwa sahihi uta wa grade vipi zaid ya kuwaonea. Kwaio hii ndo mana PSRS hawatumii maswali ya subjective kuondoa upendeleo kwa upande wangu mm interview za psrs zipo standard, waoga na vilazaaa lazima wazikimbie.
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 umepiga kichwan
 
Sasa si wanaponda utumishi kuuliza maswali ya darasani hata written, au we hujaona hoja hizo?
Hujatumia akili yako kwa ufasaha badala yake umeamua kujifunga na fikra finyu zaidi.

Written, mode of question inatakiwa isiwe Direct questions, yaan maswali yalenge kujua wasailiwa wana uelewa na kila walichoulizwa?
Umetoka mfano hapo on how qn should be addressed to candidates.

Unaweza kumuuliza degree holder ataje 5 Cannon za Taxation tena direct kabisa? Kwann swali usiliweke kwa mtindo wa uelewa lkn point zikieleweka kuwa zitakuwa ndio hizohizo?

Unadhani mtu kumuuliza

1. Mention five (5) Cannon of Tax.

ni sawa na kumuuliza

2. Most of Taxpayers are much aggressive towards ability to pay tax. As a Tax Management officer, Board of Directors seeking for your assistance on abilitation of paying tax.
What are you going to suggest?

Kwenye Oral hapa tunapima, uvumilivu wa watoa huduma wetu, uelewa na namna gani tunaweza kupata watu wanaomudu kusolve ishu ngumu kwa umakini na bila upendeleo.

Lazima tubadilike kidogo ili kuleta ufanisi maeneo mbalimbali.
 
Eti....
20220826_081223.jpg
 
Fanya password iwe kama hici #Denton@G2023 kama bado inakataa basi icomplicate zaidi
Okay imekubali.

One thing.

Pale kwenye kuattach certificates unafanyaje apo maana there are several docs i want to attach but ile sehem inakupa nafasi moja tu mkuu

How youd solved this?!
 
Kmmmke tena, yaani na kuunganisha vyeti kwa Pdf moja nayo hujui? Ok kwenye Computer ungefanyaje?

Ingia google search Pdf merger then utakuwa unaunganisha hapo vyeti vyote kisha utadownload na kuitumia.
Mkuu punguza ukali 🤦‍kidgo
 
Back
Top Bottom