Wkingz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 487
- 1,220
Kimsingi wote mnatakiwa kujua kuwa hakuna chuo kinachotoa degree Tanzania kilicho sajiliwa na TCU ambacho mtu atamaliza degree hajasoma miccrosoft word,excel nk..... kifupi introduction to computer au ICT. Kingine mtu ajui kutumia email inawezekana vip coz inawezekanaje u apply chuo kama huna email. Ili u apply chuo unaitaji kua na email, email sio kitu cha kufundishwa darasani wadau form 4 tu wanatumia email vizur now days.