HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwanini waite interview mpya wakati kuna watu walifanya interview na kufaulu ila kutokana na uchache wa nafasi wakakosa nafasi ila waliweka kwneye database ili nafasi zikipatikana waende kucover hizo nafasi huoni huwatendei haki hao watu kuwarudisha kwa mara nyingine tena kufanya interview.
Usichokijua ni kwamba hakuna anayejua kuwa alifaulu interview na jina lake kuwekwa kwenye database!! Sekretarieti ya ajira HAIJAWAHI kumpa taarifa msailiwa yeyote kuwa alifaulu usaili japo alikosa nafasi, kwa hiyo jina lake limewekwa kwenye database na atapatiwa ajira nafasi ikitokea!! Mfano ulio hai ni hili tangazo la jana na linasomeka hivi: "Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa".
Niambie kwa tangazo kama hilo ni nani atajua kuwa yuko kwenye database ya waliofaulu na kukosa nafasi? Maana waliofaulu na kukosa nafasi na wale waliofeli wamewekwa kwenye furushi moja na wote wanaambiwa waendelee kuomba nafasi!! Tujiulize: 1. Kwa nini hii database haijawahi kuwekwa wazi? Ukweli ni kwamba ikiwekwa wazi kutatokea TAHARUKI ya kitaifa!! Kuna majina ya watu yataonekana kwenye database na hawajawahi kufanya usaili!! au walifanya usaili na kufeli ndio maana marks za oral interview huwa hazitangazwi ili kuficha uchafu huu!! 2. Kwa nini orodha ya waliofaulu na kukosa nafasi haiwekwi wazi? 3. Kwa nini marksi za oral interview huwa haziwekwi wazi kwa wahusika? 4. Kwa nini uwaweke kundi moja waliofaulu na kukosa nafasi na wale waliofeli? 5. Kwa nini waliofaulu na wanasubiria nafasi waruhusiwe kufanya tena usajili kwa kazi hiyo hiyo waliyokwisha kufaulu?
 
Una
Mzee unapotosha umma...psrs wanfnya kz kwa muongozo...na muongozo wao unazngumzia database...suala la kukoksa nafasi kutoka database hakitengui muongozo uliopo
Unataka kuniambia mwongozo unazuia kuiweka wazi hiyo database ili kila mtu ajue kama yuko kwenye database au la!! Hilo la database ni mlango wa nyuma!! Ndio maana hiyo database haijawahi kuwekwa wazi na hakuna mtu ajuaya kama alifaulu usaili wa oral na kuwekwa kwenye data base maana marksi za oral ni siri ya sekretarieti (sijui ni mkwa nini?), nadhani ili kuhalalisha na kufunika upitishaji kwa mlango wa nyuma. Mimi nitakuwa mstari wa mbele kutetea data base kama itakuwa inawekwa wazi na marks za oral kuwekwa wazi!! Kinyume chake giza nene lililoko kwenye database linaonesha uchafu ulioko huko!!
 
Ee Mungu Baba yetu wa Mbinguni, twajua ya kuwa wewe ni mwema maishani mwetu na unatupenda, umesema tusizitegemee akili zetu , bali tukutegemee Wewe uliye Muweza wa Mambo yote, basi twakusihi Baba yetu, utuangalie wanao humu ndani tunao subiria fursa za Ajira kwa saili mbalimbali tulizofanya kupitia Sekretariati ya Ajira ni Wewe Baba ndiye ulie tuwezesha kutufikisha katika saili za mahojiano kwa maana bila Wewe hata hatua hii tusingeweza kuifikia kwa nguvu zetu wenyewe, tunaomba utupe uvumilivu kwa kipindi hiki tunaposubiria majibu ya saili zetu, utuangalie kwa jicho lako la huruma Baba ili wote humu tuliofikia hatua ya sahili za mahojiano tukapangiwe vituo vya kazi kwa sifa na utukufu wa Jina lako, na wale ambao hawajaweza kufika hatua ya usahili wa mahojiano , basi uwabariki awamu hii wakaweze kuifikia hatua hiyo ili nao Baba, kwa huruma zako ukawapatie nafasi za Ajira, ili Ukuu wako na Utukufu vikapate kukurudia Wewe mwenyewe.

Tumeomba hayo tukiamini Baba utatenda katika Kristo Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
Amennn
 
Sababu labda hujawah faulu written ukafanya oral hvy unapendelea watangaze kazi ili ufanye usahili ila na uhakika ukifanya oral hata Moja utaelewa kwann tunapigania database na umuhimu wake
Usijidanganye kuwa waliofaulu written na kufanya oral hao ndio wako kwenye database bali ni wale waliofaulu oral interview. Kitendawili ni hiki, hakuna ajuaye kwa uhakika kuwa alifaulu oral interview na kukosa tu nafasi, au alifeli kwa kuwa marksi za oral huwa haziwekwi wazi!! Waliofaulu (bila kutaarifiwa kuwa walifaulu) na waliofeli (bila kutaarifiwa kuwa walifeli) wote wanawekwa kundi moja!! Kwa tangazo kama hili utajuaje kama ulifeli au ulifaulu? "Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa."
 
Una

Unataka kuniambia mwongozo unazuia kuiweka wazi hiyo database ili kila mtu ajue kama yuko kwenye database au la!! Hilo la database ni mlango wa nyuma!! Ndio maana hiyo database haijawahi kuwekwa wazi na hakuna mtu ajuaya kama alifaulu usaili wa oral na kuwekwa kwenye data base maana marksi za oral ni siri ya sekretarieti (sijui ni mkwa nini?), nadhani ili kuhalalisha na kufunika upitishaji kwa mlango wa nyuma. Mimi nitakuwa mstari wa mbele kutetea data base kama itakuwa inawekwa wazi na marks za oral kuwekwa wazi!! Kinyume chake giza nene lililoko kwenye database linaonesha uchafu ulioko huko!!
Una hoja mkuu usikilizwe
 
Huyo wa 2022 akisubiri mwaka mmoja kunashida gani, hivi unajua kuna watu tangu 2015,2016,2017,2018,2019,2020,2021 wapo mtaani na hawana kazi wanapiga usaili na wanaingia oral sio kama wanafeli nafasi ndio hamna ,hizi post mnazo ona Mama Samia ndio ametangaza saiz watu miaka ya nyuma wame kaa sana benchi sasa unazungumza graduate wa 2022 huyo hata aki kaa mwaka na mwakani akiomba akapata sio mbaya wafikirie wenzako wa 2018 , halafu wa 2022 anakuja kuajiliwa heshima hamna hapo.
Sema vile utaratibu wetu haupo sawa kanzi data ina umuhimu sana. Ww inaonekana umegraduate miaka ya hivi karibuni ngoja upige saili kazaa ndo utaelewa vizuri tunacho ongea.Data base ni sheria na ni muhimu kwani ukichukua watu kanzi data, unaisafisha watu wanapata ajira unaanza fresh, sio unatangaza watu wanapiaga paper wanafaulu, wanarudi tena, kila siku huoni kama sio sawa waluo anzisha kaznzi data wali fikiria hayo.
Wewe unayetetea data base je ulishawahi kuiona hiyo data base na kujiridhisha kuwa inatenda haki?? Kwa nini hiyo database haijawahi kuwekwa wazi? Je kuna mtu ambaye ana uhakika kuwa yuko kwenye database wakati hata marks za oral interview hajui alipata ngapi maana huwa hazitolewi!! Hawazitoi ili kuwanyima haki watu ya kudai haski yao!! Utadaije haki wakati hata haujui kama ulifaulu au ulufeli maana haukupewa marksi!! Kwa nini unalifumbia macho hili?? Wewe sidhani kama ni msailiwa nadhani ni mmoja wa wanufaika wa kichaka cha giza kiitwacho database!! Niambie kwa tangazo kama hili la sekretatieti ya ajira utajuaje kama ulifaulu na upo kwenye database? "Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa."
 
S
Usijidanganye kuwa waliofaulu written na kufanya oral hao ndio wako kwenye database bali ni wale waliofaulu oral interview. Kitendawili ni hiki, hakuna ajuaye kwa uhakika kuwa alifaulu oral interview na kukosa tu nafasi, au alifeli kwa kuwa marksi za oral huwa haziwekwi wazi!! Waliofaulu (bila kutaarifiwa kuwa walifaulu) na waliofeli (bila kutaarifiwa kuwa walifeli) wote wanawekwa kundi moja!! Kwa tangazo kama hili utajuaje kama ulifeli au ulifaulu? "Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa."
Sawa database ni ya muhimu sana kikubwa labda after oral interview kwenye account uwe unapata notification kwamba ulifaulu oral na PDF la database kwenye placement wawe wanatoa peke yake Yani litenganishwe na hao waliopata direct na matokeo ya oral interview yatolewe wazi kwenye website kama written interview
 
Kiupande wangu bado sijaitwa Kazini kuanza Majukumu Ila Mshahara wa mwezi April nimelipwa.. ikimaanisha Check no yangu ilishakuwa tayari..
Kuhusu suala la kuitwa kazini nadhani after May 1 tutaitwa mzigoni
Unasema kweli? Mwajiri wako ni nani? ni serikali kuu, au hizi halmashauri za miji na manispaa au ni taasisi ya umma? Ni kweli umepata placement tu na kulamba mshahara hata kabla ya kuitwa rasmi kazini na kupewa rasmi barua ya ajira/mkataba? Kama ni hivyo hayo ni mabadiliko chanya sana!! Yawezekana hicho unachodai ni mshahara ni posho ya kujikimu baada ya kuitwa kwenye ajira!! Angalia kwenye bank statement wataaimnisha aina ya malipo!!
 
Wewe unayetetea data base je ulishawahi kuiona hiyo data base na kujiridhisha kuwa inatenda haki?? Kwa nini hiyo database haijawahi kuwekwa wazi? Je kuna mtu ambaye ana uhaskika kuwa yuko kwenye database wakati hata marks za oral interview hajui alipata ngapi maana huwa hazitolewi!! Hawazitoi ili kuwanyima haki watu ya kudai haski yao!! Utadaije haki wakati hata haujui kama ulifaulu au ulufeli maana haukupewa marksi!! Kwa nini unalifumbia macho hili?? Wewe sidhani kama ni msailiwa nadhani ni mmoja wa wanufaika wa kichaka cha giza kiitwacho database!! Niambie kwa tangazo kama hili la sekretatieti ya ajira utajuaje kama ulifaulu na upo kwenye database? "Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa."
mkuu database ipo iko fair japo imejaa usiri,usilalamike sana.

nakupq agro officer call for interview-wizara ya kilimo ile pdf nikonayo till now naitumia kuthibitisha wanaopangiwa post za agro- officer halmashauri.100% majina ni yale yale.

the same kwa wachumi mkuu so jua tu hatujafikiwa,pia ni kushauri database isiwe siri tujue moja tumo ama laah

natumaini nimekujibu
 
Ee Mungu Baba yetu wa Mbinguni, twajua ya kuwa wewe ni mwema maishani mwetu na unatupenda, umesema tusizitegemee akili zetu , bali tukutegemee Wewe uliye Muweza wa Mambo yote, basi twakusihi Baba yetu, utuangalie wanao humu ndani tunao subiria fursa za Ajira kwa saili mbalimbali tulizofanya kupitia Sekretariati ya Ajira ni Wewe Baba ndiye ulie tuwezesha kutufikisha katika saili za mahojiano kwa maana bila Wewe hata hatua hii tusingeweza kuifikia kwa nguvu zetu wenyewe, tunaomba utupe uvumilivu kwa kipindi hiki tunaposubiria majibu ya saili zetu, utuangalie kwa jicho lako la huruma Baba ili wote humu tuliofikia hatua ya sahili za mahojiano tukapangiwe vituo vya kazi kwa sifa na utukufu wa Jina lako, na wale ambao hawajaweza kufika hatua ya usahili wa mahojiano , basi uwabariki awamu hii wakaweze kuifikia hatua hiyo ili nao Baba, kwa huruma zako ukawapatie nafasi za Ajira, ili Ukuu wako na Utukufu vikapate kukurudia Wewe mwenyewe.

Tumeomba hayo tukiamini Baba utatenda katika Kristo Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
Ninaomba Mungu Baba wa mbinguni ayasikie maombi yako na kukupatia ajira. Ila kumbuka kumpa utukufu na uje utoe mshahara wa kwanza kanisani kama MALIMBUKO!! Mungu akufanikishe! Ukifanikiwa tupe mrejesho hapa!!
 
mkuu database ipo iko fair japo imejaa usiri,usilalamike sana.

nakupq agro officer call for interview-wizara ya kilimo ile pdf nikonayo till now naitumia kuthibitisha wanaopangiwa post za agro- officer halmashauri.100% majina ni yale yale.

the same kwa wachumi mkuu so jua tu hatujafikiwa,pia ni kushauri database isiwe siri tujue moja tumo ama laah

natumaini nimekujibu
Huo usiri ndio unaifanya uwe kichaka cha mlango wa nyuma!! Ikiwekwa wazi na kila mtu akajua marks zake za oral interview mimi nitakuwa mstari wa mbele kutetea data base!! Kwa nini iwe siriu? Wakicheza rafu huko ni nani atakayejua? Na kwa nini iwe siri?? Kuna maswali8 mengi kuliko majibu!!
 
Back
Top Bottom