Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,906
- 6,694
So kuna uwezekano nyengine ikatema weekend hiiMpaka mei Mosi ifike pdf zitakuwa za kutosha, naona ni mwendo wa kuzipandisha Tu tutegemee nyingine soon
yaah mkuu, mm kwa kada yangu wanachukua kila pdf ila bahati mbaya bdo mbungi ngumu
[/QUOTE kada ipi mkuu?
Nahisi maana kwa kauli mbiu ya mei Mosi inawahusu sana hawa psrs kumbuka kipindi wanasona budget Yao bungeni IT alikuwa anapandisha matangazo kila baada ya lisaa web Yao ilipambwa na matangazo ya Ajira na placement za kupima so nahis na hii itakuwa ivyo ivyoSo kuna uwezekano nyengine ikatema weekend hii
Kama wale jamaa wa Mjengoni, kipindi cha kuomba ridhaa kwa wananchi wanaenda hadi kupiga magoti, kupika, wengine hadi wanagaragara chini.Wakishalamba asali wanaweka silaha chini wanakimbia mapambano
Thanks u champ,tutachomoka tu mkuuMungu atakusaidia sawadogo naimani anaona mateso yetu
😂😂😂Hatujaisha Kaka tupo wengi tuu badoWadau wa halmashaurii hawajaishaa tuu ?😅 maana naona watu wa taasisi tumeekwa pending sjui mpk waishe wa halmashaurii😅🤦♂️
Kwa nafasi 2057 zile za MDA & LGA,mmh na hapo nahisi washafika kama 1200 Iv walioitwa kuna safari ndefu halmashauri, na zinazokuja ni pdf zeny MB zake halmashauriWadau wa halmashaurii hawajaishaa tuu ?😅 maana naona watu wa taasisi tumeekwa pending sjui mpk waishe wa halmashaurii😅🤦♂️
😅😅 duuh sfr ndefu😂😂😂Hatujaisha Kaka tupo wengi tuu bado
Kabisa kabisa mkuuVijana wakija hapo kwa ajili ya mkando usiache kuwapa hata maji ya kunywa
Naona kimya toeni shuhuda mnatupa matumaini na Sisi tunaosubiria wakati wetu halmashauri napo ni asali nzito na nzuri Tu mbona wengine tunatamani ata tupate kweny kata na vijiji uko kikubwa asali jitihada tu zako zitakutoashuhuda wakuu
Bado mapema mkuu, Idadi bado haijaisha pdf bado zinatokakilimo
uchumi ,wanaitwa kila siku ila bdo ngumu ngoja nitafute vinauli nauli humu viwandani kwajili ya sahili zijazo
Mbona bado tupo mkuu!!Wakishalamba asali wanaweka silaha chini wanakimbia mapambano
Hongera kiongozi mungu akuongozee kwenye majukumu yako mapya Sisi tupo nyuma yako kwa uwezo wa mungu na sisi tutakufataMungu ni Mwaminifu sana..
Hakika PDF hii na Mimi nime lamba asali.
Nawaombea na ninyi ndugu zangu ambao Bado hamjapata, hakika ni suala la Muda tu.
Wote tutapata.