mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
kilimo na uchumikada yako ni ipi?
kilimo na uchumikada yako ni ipi?
agro economicskada yako ni ipi?
Sawa kabisa! Ikifanyika hivyo hakuna atakayelalamika na atakuwa tayari kusubiri kwenye queue hata kwa miaka 2.S
Sawa database ni ya muhimu sana kikubwa labda after oral interview kwenye account uwe unapata notification kwamba ulifaulu oral na PDF la database kwenye placement wawe wanatoa peke yake Yani litenganishwe na hao waliopata direct na matokeo ya oral interview yatolewe wazi kwenye website kama written interview
hongera sana afsaa ,ukawe mtu mwema .Wakuu nmelamba asali. Namshukru sana Mungu, kuweni na uvumilivu tu maana ni kweli kuna wakati unakata tamaa kbs.
Sasa atajuaje kama ni data base maana data base haijawahi kuwekwa wazi!!hongera sana afsaa ,ukawe mtu mwema .
vp clean placement or database ?and do u feel champ
Umemshauri vizuri akawe mtu mwema!! Hawa hawa wanaolia lia humu kuna siku watapata nafasi ya kushughulikia maslahi ya watu wengine huko mbele!! Tatizo watu huwa wanajisahau na kuanza kusumbua watu kama miungu watu!!hongera sana afsaa ,ukawe mtu mwema .
vp clean placement or database ?and do u feel champ
sio wote mkuuUmemshauri vizuri akawe mtu mwema!! Hawa hawa wanaolia lia humu kuna siku watapata nafasi ya kushughulikia maslahi ya watu wengine huko mbele!! Tatizo watu huwa wanajisahau na kuanza kusumbua watu kama miungu watu!!
Possibly MDA na LGA wenda mzinga umeishaJamn Pdf iliotoka mbn inmeandikwaa FINAL wanamaana ganii.... au zile nafasi za MDA & LGA ndo zimeishaa ?[emoji848]
Sehemu ipi ambayo imeandikwa final Mkuu?Jamn Pdf iliotoka mbn inmeandikwaa FINAL wanamaana ganii.... au zile nafasi za MDA & LGA ndo zimeishaa ?[emoji848]
Imeandikwa wapJamn Pdf iliotoka mbn inmeandikwaa FINAL wanamaana ganii.... au zile nafasi za MDA & LGA ndo zimeishaa ?[emoji848]
bdo sana,Possibly MDA na LGA wenda mzinga umeisha
Sehemu ipi ambayo imeandikwa final Mkuu?
Labda ni final kwa placements za Halmashauri