HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ninaomba Mungu Baba wa mbinguni ayasikie maombi yako na kukupatia ajira. Ila kumbuka kumpa utukufu na uje utoe mshahara wa kwanza kanisani kama MALIMBUKO!! Mungu akufanikishe! Ukifanikiwa tupe mrejesho hapa!!
Amina
Ninaomba Mungu Baba wa mbinguni ayasikie maombi yako na kukupatia ajira. Ila kumbuka kumpa utukufu na uje utoe mshahara wa kwanza kanisani kama MALIMBUKO!! Mungu akufanikishe! Ukifanikiwa tupe mrejesho hapa!!

Amina ndugu yangu hilo nitafanya, maana Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akikutendea jambo twapasa kumfanyia mambo makuu mawili
1. Kumshukuru
2. Kumrudishia Sifa na Utukufu ( kumshuhudia kwa watu ili wapate kujua ya kuwa yeye yupo amejaa rehema na neema, mwingi wa fadhili na anabariki maelfu kwa maelfu ya wanadamu wanao mtegemea na kumtumainia.
 
Wadau wa halmashaurii hawajaishaa tuu ?😅 maana naona watu wa taasisi tumeekwa pending sjui mpk waishe wa halmashaurii😅🤦‍♂️
Hahaaaa ,wameamua kukomesha makusudi wanajua majobless TGSD hawataki kuzisikia sasa ,ni mapdf ya halmashauri mwanzo mwisho ,zile LaTra ,Nssf ,Tcra ,Bandari nk hamna mamaeee😄😄😄😄😄😄
 
Matokeo ya oral interview yawekwe wazi, watakao ingia kwenye database wawekwe wazi.
[mention]Sekretarieti ya Ajira [/mention]
 
nime confirm kweli hii pdf ya leo imeandikwa FINAL!!
Ila huenda za LGA zimeisha maana toka waanze kutoa ni wengi wamelamba asali naona zitakua zimeisha bado za MDA ambazo sio nying kama za LGA
Kama unafatilia placement hizi za halmashaur toka waanze kutoa ni zaidi ya 1500+ washapata placement mana kama mkeka wa tarehe 14/4 18/4 21/4 zipo 2 na 28/4 sio chini ya watu 300 mkeka 1 bado zile pdf za tareh 14/3 zipo 2 na tarehe 16/3 na 17/3 na zingine zilikua halmashaur Tu
 
Mimi ni mdau mkubwa wa sekretarietin ya ajira. Naifuatilia sana si kwa ajili yangu binafsi bali kwa ajili ya wanangu niliowagharimia chuo lakini hawajapata ajira. mmoja amehitimu nmwaka 2018 hadi leo bado hajapata ajira japo amekomaa vilivyo mtaani kujitafutia riziki na ameshazoea. Mwingine amehitimu 2019, huyu amefanya usaili mara 4. Namshukuru Mungu pdf mojawapo iliyotoka mwezi huu wa nne alilamba asali kwenye moja ya manispaa za Dar. Kila usaili alitumia zaidi ya laki moja na nusu kwa usafiri, chakula na malazi. Huo ni mzigo mkubwa sana ambao ni vigumu kuumudu muda wote! Kwa hiyo kuna saili nyingine hakuwa anamudu huhudhuria!
Hongera sana kwake
 
Back
Top Bottom