HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa nini mkuu [emoji28]
Inafikirisha sana mkuu. Labda wanahangaikia website ikae sawa. Ramli zimepigwa sana, wengine wakasema leo (jana) lazima 100% lakini mpaka saa hii saa 00:46 hakuna kitu na vimulimuli kwenye Placement vimezima vyote. Mungu atusaidie sana Jobless. Nahisi Mb zangu zinaisha kwa kuangalia mara kwa mara kwenye website.
PSRS kwanini mnachukua muda mrefu kuita watu kazini?
 
Psrs wanatia hasira hapo tuu Kwan wanashindwa wakachukua Kada at least 2 or 3 then wakawatolea full mkeka sio Kada 1 unatoa watu 2 yaani Hadi kuita kada nzima inachukua miezi Bora ujue wametoa mkeka mzima then ujue kama umekosa kabisa usubirie database sio wiki hii 6 wiki ijayo 2
 
subra mkuu
 
Back
Top Bottom