HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
waziri wa ardhi ame amuru wanaojitolea katika wizara hiyo-dodoma wapigwe chini. sababu imeonekana ni wapokea rushwa na wabadhirifu wakubwa wengine amedai wanamiliki mpaka magari .

ilipotokea kazi ya muda mfupi ya upimaji wa ardhi na malipo ni 60k per dei wamegomea! waziri akahoji wametoa wapi hii jeuri!!
Hii dunia bhana ndo maana sometimes watu wanajinyonga kwa depression! Yaan mtu hana mkataba wa ajira na ni kibarua, kajenga nyumba na kanunua Ndinga! Siwapatii picha hao walioajiriwa permenent hapo Idara ya Ardhi Dodoma Jiji..
 
na kuna uzi mmoja ulitembea sana kuwa kuna ma afsa ardhi wameuza ardhi kwa raia na taasisi ya umma maeneo ya hazina - pale domu.
 
Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
waziri wa ardhi ame amuru wanaojitolea katika wizara hiyo-dodoma wapigwe chini. sababu imeonekana ni wapokea rushwa na wabadhirifu wakubwa wengine amedai wanamiliki mpaka magari .

ilipotokea kazi ya muda mfupi ya upimaji wa ardhi na malipo ni 60k per dei wamegomea! waziri akahoji wametoa wapi hii jeuri!!
Weee
 
Skywalker00
IPO SAWA HII?

TRA 2.34M, take home 1.657M after heslb take home 1.306M

kuna extra duty tu 900k so jumlishia hio
Siku 15 tu, 60k per day... Unafanya tu

1.306M + 900k = 2.2M
NET SALARY 2.2M
Extra Duty ni constant each moth the whole year au ina depends na budget ya idara?
 
waziri wa ardhi ame amuru wanaojitolea katika wizara hiyo-dodoma wapigwe chini. sababu imeonekana ni wapokea rushwa na wabadhirifu wakubwa wengine amedai wanamiliki mpaka magari .

ilipotokea kazi ya muda mfupi ya upimaji wa ardhi na malipo ni 60k per dei wamegomea! waziri akahoji wametoa wapi hii jeuri!!
Huku kuna hela ndiyo maana tulifanya interview yao psrs wakaitana kimya kimya
 
Hivi ninyi Jobless mliolamba asali mwaka huu P value @Yakunle @mazaga one @Hemet ,Kyagata na Wengine ,vipi mlifanikiwa kureport na kuanza kazi au waajiri bado wanawapiga danadana ? , Maana kuna wengine wanasema waajiri nao chenga wanachelewesha asali
Tayari Mshahara ushaingia kwetu binafsi.Kikubwa wewe kama umeacha vyeti vyako na kadi ya Benki tulia,mambo yakiwa sawa utaona ujumbe wa kuripoti kazini,ukifuatiwa na mpunga.Sasa serikali hautaki madeni,kila kitu kikikaa sawa Kwa watumishi wapya ndio mnaitwa.Ambapo ni Mpunga.......
Vuta subra tu....
 
Huyo wa 2022 akisubiri mwaka mmoja kunashida gani, hivi unajua kuna watu tangu 2015,2016,2017,2018,2019,2020,2021 wapo mtaani na hawana kazi wanapiga usaili na wanaingia oral sio kama wanafeli nafasi ndio hamna ,hizi post mnazo ona Mama Samia ndio ametangaza saiz watu miaka ya nyuma wame kaa sana benchi sasa unazungumza graduate wa 2022 huyo hata aki kaa mwaka na mwakani akiomba akapata sio mbaya wafikirie wenzako wa 2018 , halafu wa 2022 anakuja kuajiliwa heshima hamna hapo.
Sema vile utaratibu wetu haupo sawa kanzi data ina umuhimu sana. Ww inaonekana umegraduate miaka ya hivi karibuni ngoja upige saili kazaa ndo utaelewa vizuri tunacho ongea.Data base ni sheria na ni muhimu kwani ukichukua watu kanzi data, unaisafisha watu wanapata ajira unaanza fresh, sio unatangaza watu wanapiaga paper wanafaulu, wanarudi tena, kila siku huoni kama sio sawa waluo anzisha kaznzi data wali fikiria hayo.
Mbona kuna graduates wa 2021 walipata TRA zile za. Mwezi wa 3 mwaka jana , vipi unazikumbuka

Tena vijana wadogo aseee 21 yrs 22 yrs hivo vina beba. Asali
 
Huyo wa 2022 akisubiri mwaka mmoja kunashida gani, hivi unajua kuna watu tangu 2015,2016,2017,2018,2019,2020,2021 wapo mtaani na hawana kazi wanapiga usaili na wanaingia oral sio kama wanafeli nafasi ndio hamna ,hizi post mnazo ona Mama Samia ndio ametangaza saiz watu miaka ya nyuma wame kaa sana benchi sasa unazungumza graduate wa 2022 huyo hata aki kaa mwaka na mwakani akiomba akapata sio mbaya wafikirie wenzako wa 2018 , halafu wa 2022 anakuja kuajiliwa heshima hamna hapo.
Sema vile utaratibu wetu haupo sawa kanzi data ina umuhimu sana. Ww inaonekana umegraduate miaka ya hivi karibuni ngoja upige saili kazaa ndo utaelewa vizuri tunacho ongea.Data base ni sheria na ni muhimu kwani ukichukua watu kanzi data, unaisafisha watu wanapata ajira unaanza fresh, sio unatangaza watu wanapiaga paper wanafaulu, wanarudi tena, kila siku huoni kama sio sawa waluo anzisha kaznzi data wali fikiria hayo.
Mbona kuna graduates wa 2021 walipata TRA zile za. Mwezi wa 3 mwaka jana , vipi unazikumbuka

Tena vijana wadogo aseee 21 yrs 22 yrs hivo vina beba. Asali
 
Hivi ninyi Jobless mliolamba asali mwaka huu P value @Yakunle @mazaga one @Hemet ,Kyagata na Wengine ,vipi mlifanikiwa kureport na kuanza kazi au waajiri bado wanawapiga danadana ? , Maana kuna wengine wanasema waajiri nao chenga wanachelewesha asali
Kiupande wangu bado sijaitwa Kazini kuanza Majukumu Ila Mshahara wa mwezi April nimelipwa.. ikimaanisha Check no yangu ilishakuwa tayari..
Kuhusu suala la kuitwa kazini nadhani after May 1 tutaitwa mzigoni
 
Weee, kwahyo ukiwa mtaani ukashangaa kitu kimesoma daah kweli huko ni full asali, hongera zako

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom