Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,284
- 5,505
Karibu sana TGS Mkuu.
Kumbuka madiwani ni mabosi zetu pia! Hongera mno
Kumbuka madiwani ni mabosi zetu pia! Hongera mno
Mungu ni Mwaminifu sana..
Hakika PDF hii na Mimi nime lamba asali.
Nawaombea na ninyi ndugu zangu ambao Bado hamjapata, hakika ni suala la Muda tu.
Wote tutapata.