HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ungekua umefaulu oral zaid ya mara 1 na kukosa nafasi nadhani ungelewa uchungu wanaopata wakikosa placement.
Pia wengine uwezo hawana wa kuhudhuria sahili Kila mara sasa kanzidata itakua nzuri kupunguza machungu kwa yule ambaye kipato ni kidogo
Pia ungeelewa kutoboa mitihan ya psrs sio rahis kama unavyodhani competition ni kubwa na wengi tunatafuta ajira hivyo mtu akifaulu akakosa nafasi ni vyema kupata second chance
Labda ungejenga hoja yako kuwa nigeweza vuka mchujo na kuingia oral zaidi ya moja ungeeleweka, hili la kufaulu oral nani anajua kuwa amefaulu au amefeli, ni kizungumkuti, otherwise, wawe wanatoa notification zilizo direct.
 
Kinachotakiwa kufanyika ni kutoa placement zilizoko pending zote, MDA's na LGA's na za taasisi ambazo bado, kila mmoja atajua amesimamia wapi, waendelee kuita kwa hizi nafasi zinazoendelea kutangazwa.
Kwanini waite interview mpya wakati kuna watu walifanya interview na kufaulu ila kutokana na uchache wa nafasi wakakosa nafasi ila waliweka kwneye database ili nafasi zikipatikana waende kucover hizo nafasi huoni huwatendei haki hao watu kuwarudisha kwa mara nyingine tena kufanya interview.
 
Hiyo ya kufaulu lakini amekosa nafasi ni neno la kisiasa, katika uwanja wa ajira shindani halipaswi kutumia, abadani.
Good - better - best; lengo la saili ninkuchukua best candidate kulingana na sahili husika, mambo yaishie hapo.
 
Mzee unapotosha umma...psrs wanfnya kz kwa muongozo...na muongozo wao unazngumzia database...suala la kukoksa nafasi kutoka database hakitengui muongozo uliopo
 
Hakuna asiyejua kuwa sheria yao inatambua uwepo wa database, hayo ni maoni yangu binafsi nikimjibu mdau katika hoja zake, msimamo wangu binafsi, ni no-database.
 
Sababu labda hujawah faulu written ukafanya oral hvy unapendelea watangaze kazi ili ufanye usahili ila na uhakika ukifanya oral hata Moja utaelewa kwann tunapigania database na umuhimu wake
 
Hili la kufaulu oral au kutokufaulu sidhani kama lina uzito sana hapa, hoja yangu imelala hapa, kwa hizi shortlists zinazoendelea kuwa cancelled kwa kivuli cha database, sio sawa, zikiendele hivi, kuna graduate wataathirika, watakosa haki yao ya kugombea ajira katika taasisi za umma.

Sitaki kuwa mbinafsi, kujiangalia mimi tu, lazima equal consideration iangaliwe kwa hawa fresh graduates pia.
 
naona unabishana na ukweli mkuu.

Rais samia alikiri anapitia maoni ya watu humu jf. spika wa bunge Dr tulia ackson yeye pia kahimiza ni mdau wa jf na kaomba isitoe taarifa zenye kupotosha.

kumbuka aliye anzisha huu uzi alikula ban ya muda mrefu kisa title ya huu uzi kachiliwa hivi karibuni na baada ya hapo imewasukuma sekretarieti kufungua account yao humu.

kilio chetu na mashinikizo ya wadau yakamfanya rais kufanya amendment mbali mbali ikiwemo waziri na naibu waziri wa utumishi kuondoshwa.
Achana nae...hao watu unatakiwa uwatambue kwa code zao tu za maandishi unajua kaja huku kwa lengo gan
 
Hili la kufaulu oral au kutokufaulu sidhani kama lina uzito sana hapa, hoja yangu imelala hapa, kwa hizi shortlists zinazoendelea kuwa cancelled kwa kivuli cha database, sio sawa, zikiendele hivi, kuna graduate wataathirika, watakosa haki yao ya kugombea ajira katika taasisi za umma.

Sitaki kuwa mbinafsi, kujiangalia mimi tu, lazima equal consideration iangaliwe kwa hawa fresh graduates pia.
Mbona Ishu ya kuita watu wengi Oral kuzidi kanuni yao(sheria) Utumishi walioandika hulisemi ila kwenye kipengele cha mashaka ya Data base yapo??
Tujenge hoja....
 
Halipo sawa hilo, soma tangazo vizuri, mara ya kwanza walihitaji watu 14, tangazo la sasa lililositishwa linahitaji 23 ambao ndo hao watatoka database.

Kama wataendelea hivi, hakika kwa idadi ya post zinazokuja, na sahili zilizofanyika mwaka jana, karibia katika kila kada,ni wazi sahili zitasimama kwa miaka kadhaa, na itawanyima fursa ya kugonbea nafasi kwa graduate wapya, kuanzia hawa wa 2022.

Nafasi iwe moja au mia, waite watu dom, mwenye uhitaji wa kazi atakwenda. Hili la data base linatengeneza tatizo lingine kama lile la awamu ajira ziliposimamishwa kwa muda.
Huyo wa 2022 akisubiri mwaka mmoja kunashida gani, hivi unajua kuna watu tangu 2015,2016,2017,2018,2019,2020,2021 wapo mtaani na hawana kazi wanapiga usaili na wanaingia oral sio kama wanafeli nafasi ndio hamna ,hizi post mnazo ona Mama Samia ndio ametangaza saiz watu miaka ya nyuma wame kaa sana benchi sasa unazungumza graduate wa 2022 huyo hata aki kaa mwaka na mwakani akiomba akapata sio mbaya wafikirie wenzako wa 2018 , halafu wa 2022 anakuja kuajiliwa heshima hamna hapo.
Sema vile utaratibu wetu haupo sawa kanzi data ina umuhimu sana. Ww inaonekana umegraduate miaka ya hivi karibuni ngoja upige saili kazaa ndo utaelewa vizuri tunacho ongea.Data base ni sheria na ni muhimu kwani ukichukua watu kanzi data, unaisafisha watu wanapata ajira unaanza fresh, sio unatangaza watu wanapiaga paper wanafaulu, wanarudi tena, kila siku huoni kama sio sawa waluo anzisha kaznzi data wali fikiria hayo.
 
Yaani mtu kamaliza 2022 na analalamika na huku bado dawa haija kolea😁😁
 
naona unabishana na ukweli mkuu.

Rais samia alikiri anapitia maoni ya watu humu jf. spika wa bunge Dr tulia ackson yeye pia kahimiza ni mdau wa jf na kaomba isitoe taarifa zenye kupotosha.

kumbuka aliye anzisha huu uzi alikula ban ya muda mrefu kisa title ya huu uzi kachiliwa hivi karibuni na baada ya hapo imewasukuma sekretarieti kufungua account yao humu.

kilio chetu na mashinikizo ya wadau yakamfanya rais kufanya amendment mbali mbali ikiwemo waziri na naibu waziri wa utumishi kuondoshwa.
Rais mwenyewe alikiri kwa kinywa chake kua anasomaga jamii forum, huu Uzi una nguvu
 
Hiyo ya kufaulu lakini amekosa nafasi ni neno la kisiasa, katika uwanja wa ajira shindani halipaswi kutumia, abadani.
Good - better - best; lengo la saili ninkuchukua best candidate kulingana na sahili husika, mambo yaishie hapo.
Yaani ww waziri mwenyewe alisema huo utaratibu ni mzuri wa kanzi data ww unaleta mambo ya good, better best bro huelewi haya maisha sio kwamba walio lamba asali wote ni best sana haya maisha ni all about lucky, yaani kuna ndondokela zipo, kaka kuna kazi zinatangazwa na zina watu tayari,usiongee ujinga! Unajua kama in 2021 kuna ule usaili uli vuja wa TRA watu tumeenda Dodoma hatujui kitu na watu wana maswali yote sasa hapo utasema kuna goog better best.
Hizi saili zina mambo mengi kaka unaweza ingia oral hata 60 nausipate kazi hii nchi, acha watu walilie kanzi data siku wakikumbukwa sawa.
 
Hiyo ya kufaulu lakini amekosa nafasi ni neno la kisiasa, katika uwanja wa ajira shindani halipaswi kutumia, abadani.
Good - better - best; lengo la saili ninkuchukua best candidate kulingana na sahili husika, mambo yaishie hapo.
Database hata private companies kubwa inatumika, hata kwenye big4 audit firms, mining companies kama GGM wanahiyo system, ukisikia database usijedhani ni kwa psrs pekee kiongozi, inaonekana wewe ni mgeni na soko la ajira
 
Back
Top Bottom