Kbsa ni kuomba tu munguSiku nyengine tena ya kuwasikilizia psrs
Mungu asaidie tuuu
Siku nyengine tena ya kuwasikilizia psrs
AminaEe Mungu Baba yetu wa Mbinguni, twajua ya kuwa wewe ni mwema maishani mwetu na unatupenda, umesema tusizitegemee akili zetu , bali tukutegemee Wewe uliye Muweza wa Mambo yote, basi twakusihi Baba yetu, utuangalie wanao humu ndani tunao subiria fursa za Ajira kwa saili mbalimbali tulizofanya kupitia Sekretariati ya Ajira ni Wewe Baba ndiye ulie tuwezesha kutufikisha katika saili za mahojiano kwa maana bila Wewe hata hatua hii tusingeweza kuifikia kwa nguvu zetu wenyewe, tunaomba utupe uvumilivu kwa kipindi hiki tunaposubiria majibu ya saili zetu, utuangalie kwa jicho lako la huruma Baba ili wote humu tuliofikia hatua ya sahili za mahojiano tukapangiwe vituo vya kazi kwa sifa na utukufu wa Jina lako, na wale ambao hawajaweza kufika hatua ya usahili wa mahojiano , basi uwabariki awamu hii wakaweze kuifikia hatua hiyo ili nao Baba, kwa huruma zako ukawapatie nafasi za Ajira, ili Ukuu wako na Utukufu vikapate kukurudia Wewe mwenyewe.
Tumeomba hayo tukiamini Baba utatenda katika Kristo Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
Amina🙏 na iwe Ivo.Ee Mungu Baba yetu wa Mbinguni, twajua ya kuwa wewe ni mwema maishani mwetu na unatupenda, umesema tusizitegemee akili zetu , bali tukutegemee Wewe uliye Muweza wa Mambo yote, basi twakusihi Baba yetu, utuangalie wanao humu ndani tunao subiria fursa za Ajira kwa saili mbalimbali tulizofanya kupitia Sekretariati ya Ajira ni Wewe Baba ndiye ulie tuwezesha kutufikisha katika saili za mahojiano kwa maana bila Wewe hata hatua hii tusingeweza kuifikia kwa nguvu zetu wenyewe, tunaomba utupe uvumilivu kwa kipindi hiki tunaposubiria majibu ya saili zetu, utuangalie kwa jicho lako la huruma Baba ili wote humu tuliofikia hatua ya sahili za mahojiano tukapangiwe vituo vya kazi kwa sifa na utukufu wa Jina lako, na wale ambao hawajaweza kufika hatua ya usahili wa mahojiano , basi uwabariki awamu hii wakaweze kuifikia hatua hiyo ili nao Baba, kwa huruma zako ukawapatie nafasi za Ajira, ili Ukuu wako na Utukufu vikapate kukurudia Wewe mwenyewe.
Tumeomba hayo tukiamini Baba utatenda katika Kristo Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
AmenEe Mungu Baba yetu wa Mbinguni, twajua ya kuwa wewe ni mwema maishani mwetu na unatupenda, umesema tusizitegemee akili zetu , bali tukutegemee Wewe uliye Muweza wa Mambo yote, basi twakusihi Baba yetu, utuangalie wanao humu ndani tunao subiria fursa za Ajira kwa saili mbalimbali tulizofanya kupitia Sekretariati ya Ajira ni Wewe Baba ndiye ulie tuwezesha kutufikisha katika saili za mahojiano kwa maana bila Wewe hata hatua hii tusingeweza kuifikia kwa nguvu zetu wenyewe, tunaomba utupe uvumilivu kwa kipindi hiki tunaposubiria majibu ya saili zetu, utuangalie kwa jicho lako la huruma Baba ili wote humu tuliofikia hatua ya sahili za mahojiano tukapangiwe vituo vya kazi kwa sifa na utukufu wa Jina lako, na wale ambao hawajaweza kufika hatua ya usahili wa mahojiano , basi uwabariki awamu hii wakaweze kuifikia hatua hiyo ili nao Baba, kwa huruma zako ukawapatie nafasi za Ajira, ili Ukuu wako na Utukufu vikapate kukurudia Wewe mwenyewe.
Tumeomba hayo tukiamini Baba utatenda katika Kristo Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
Hongera sana, Tafuta shamba pia ulime mkuu kilimo kinalipaNamshukuru Mungu nilipata kazi nawaombea ndugu zangu msikate tamaa na msichoke Mungu ni wetu sote ,utumishi wa umma ni mpana sana wengine tuko vijijini sana wengine wapo mijini yote kwa yote ni katika kulijenga taifa.
Msichoke kisubiri wakati wa Mungu waja
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Yes huku kikimo ndo mpangoHongera sana, Tafuta shamba pia ulime mkuu kilimo kinalipa
Mzee baba uko Wilaya gani?
Upo HQ au ulipangwa sehemu/kituo kingine?Nili report na kuanza kazi mkuu.
AmenEe Mungu Baba yetu wa Mbinguni, twajua ya kuwa wewe ni mwema maishani mwetu na unatupenda, umesema tusizitegemee akili zetu , bali tukutegemee Wewe uliye Muweza wa Mambo yote, basi twakusihi Baba yetu, utuangalie wanao humu ndani tunao subiria fursa za Ajira kwa saili mbalimbali tulizofanya kupitia Sekretariati ya Ajira ni Wewe Baba ndiye ulie tuwezesha kutufikisha katika saili za mahojiano kwa maana bila Wewe hata hatua hii tusingeweza kuifikia kwa nguvu zetu wenyewe, tunaomba utupe uvumilivu kwa kipindi hiki tunaposubiria majibu ya saili zetu, utuangalie kwa jicho lako la huruma Baba ili wote humu tuliofikia hatua ya sahili za mahojiano tukapangiwe vituo vya kazi kwa sifa na utukufu wa Jina lako, na wale ambao hawajaweza kufika hatua ya usahili wa mahojiano , basi uwabariki awamu hii wakaweze kuifikia hatua hiyo ili nao Baba, kwa huruma zako ukawapatie nafasi za Ajira, ili Ukuu wako na Utukufu vikapate kukurudia Wewe mwenyewe.
Tumeomba hayo tukiamini Baba utatenda katika Kristo Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
Amina, ubarikiwe mtu wa MunguEe Mungu Baba yetu wa Mbinguni, twajua ya kuwa wewe ni mwema maishani mwetu na unatupenda, umesema tusizitegemee akili zetu , bali tukutegemee Wewe uliye Muweza wa Mambo yote, basi twakusihi Baba yetu, utuangalie wanao humu ndani tunao subiria fursa za Ajira kwa saili mbalimbali tulizofanya kupitia Sekretariati ya Ajira ni Wewe Baba ndiye ulie tuwezesha kutufikisha katika saili za mahojiano kwa maana bila Wewe hata hatua hii tusingeweza kuifikia kwa nguvu zetu wenyewe, tunaomba utupe uvumilivu kwa kipindi hiki tunaposubiria majibu ya saili zetu, utuangalie kwa jicho lako la huruma Baba ili wote humu tuliofikia hatua ya sahili za mahojiano tukapangiwe vituo vya kazi kwa sifa na utukufu wa Jina lako, na wale ambao hawajaweza kufika hatua ya usahili wa mahojiano , basi uwabariki awamu hii wakaweze kuifikia hatua hiyo ili nao Baba, kwa huruma zako ukawapatie nafasi za Ajira, ili Ukuu wako na Utukufu vikapate kukurudia Wewe mwenyewe.
Tumeomba hayo tukiamini Baba utatenda katika Kristo Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
Amen [emoji120]Ee Mungu Baba yetu wa Mbinguni, twajua ya kuwa wewe ni mwema maishani mwetu na unatupenda, umesema tusizitegemee akili zetu , bali tukutegemee Wewe uliye Muweza wa Mambo yote, basi twakusihi Baba yetu, utuangalie wanao humu ndani tunao subiria fursa za Ajira kwa saili mbalimbali tulizofanya kupitia Sekretariati ya Ajira ni Wewe Baba ndiye ulie tuwezesha kutufikisha katika saili za mahojiano kwa maana bila Wewe hata hatua hii tusingeweza kuifikia kwa nguvu zetu wenyewe, tunaomba utupe uvumilivu kwa kipindi hiki tunaposubiria majibu ya saili zetu, utuangalie kwa jicho lako la huruma Baba ili wote humu tuliofikia hatua ya sahili za mahojiano tukapangiwe vituo vya kazi kwa sifa na utukufu wa Jina lako, na wale ambao hawajaweza kufika hatua ya usahili wa mahojiano , basi uwabariki awamu hii wakaweze kuifikia hatua hiyo ili nao Baba, kwa huruma zako ukawapatie nafasi za Ajira, ili Ukuu wako na Utukufu vikapate kukurudia Wewe mwenyewe.
Tumeomba hayo tukiamini Baba utatenda katika Kristo Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
AminaEe Mungu Baba yetu wa Mbinguni, twajua ya kuwa wewe ni mwema maishani mwetu na unatupenda, umesema tusizitegemee akili zetu , bali tukutegemee Wewe uliye Muweza wa Mambo yote, basi twakusihi Baba yetu, utuangalie wanao humu ndani tunao subiria fursa za Ajira kwa saili mbalimbali tulizofanya kupitia Sekretariati ya Ajira ni Wewe Baba ndiye ulie tuwezesha kutufikisha katika saili za mahojiano kwa maana bila Wewe hata hatua hii tusingeweza kuifikia kwa nguvu zetu wenyewe, tunaomba utupe uvumilivu kwa kipindi hiki tunaposubiria majibu ya saili zetu, utuangalie kwa jicho lako la huruma Baba ili wote humu tuliofikia hatua ya sahili za mahojiano tukapangiwe vituo vya kazi kwa sifa na utukufu wa Jina lako, na wale ambao hawajaweza kufika hatua ya usahili wa mahojiano , basi uwabariki awamu hii wakaweze kuifikia hatua hiyo ili nao Baba, kwa huruma zako ukawapatie nafasi za Ajira, ili Ukuu wako na Utukufu vikapate kukurudia Wewe mwenyewe.
Tumeomba hayo tukiamini Baba utatenda katika Kristo Yesu Bwana na Mwokozi wetu.
Au wanaandaa PDF la databaseMakofiaaaaa...uko wpi ndgu yetu utupe za ndani ndani leoo vp tutegemee chchotee??au tuendlee kula mtorii