Huwa inakubali course nyinginyingi tofaut na hio account nikipata tangazo lake ntakutumiaNmechapia,i mean natafuta. Sijawahi apply TRA eti naonaga kama ni watu wa accounts tu[emoji848]
Huwa inakubali course nyinginyingi tofaut na hio account nikipata tangazo lake ntakutumiaNmechapia,i mean natafuta. Sijawahi apply TRA eti naonaga kama ni watu wa accounts tu[emoji848]
Okyyy ntashukuruHuwa inakubali course nyinginyingi tofaut na hio account nikipata tangazo lake ntakutumia
tena alinitamkia mm hadharanii, leo kasahau chezea maisha ya mtaa niniKwani umesahau ili kauli ya kuasa kuwa uwe unajisomea kila siku na iwe utamaduni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣[emoji13]anaendaga na flash home huyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bwana we bado bado,watu wenyew wanaita after 6 monthstena alinitamkia mm hadharanii, leo kasahau chezea maisha ya mtaa nini
we endelea kula msuli mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bwana we bado bado,watu wenyew wanaita after 6 months
😂😂😂 Msisitize asisahau na kuweka alarms apige msuli na usiku 😂😂😂tena alinitamkia mm hadharanii, leo kasahau chezea maisha ya mtaa nini
Sawa nitafanya hivowe endelea kula msuli mkuu
Usinikumbushe ya trade officer,nlikua nakesha alooo[emoji2356]. Pdf lije nijue kama nlijila au niaje[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] Msisitize asisahau na kuweka alarms apige msuli na usiku [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante nmekupataSithani kama kuna shida yoyote
Utabiri wangu ulikua sahihiNa kweli Leo Kuna signal ya uwepo wa pdf iliyoshiba kidogo kama ya last week
Kuna mkeka gan?Haya leteni shuhuda wadau,keka ndo kama hilo.
Mkeka umeshiba haswaaaa hadi unatapikaView attachment 20232903272013TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (1).pdfKuna mkeka gan?
Mkeka mwingine lin bossUtabiri wangu ulikua sahihi
vp ujalamba asalii mkuu? nimeona ma trade officerMkeka umeshiba haswaaaa hadi unatapikaView attachment 2570314
Sijalamba mkuu labda pdf ijayo,leo wametoa wawili tu. Yan huu mwendo wa kudokoa hadi wamalize sjui lini[emoji2356]vp ujalamba asalii mkuu? nimeona ma trade officer
Thats the spirit man[emoji123]pdf ndefu ila sijaotea kuwemo database ya leo -ASA
next time champs.
mliopata njooni mtupe faraja hapa