HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
  • halmashauri,
  • hata uwe doctor wa MOI,WCF,JKCI huwezi kufikia salary scale ya Engineer wa TCRA,
-tatizo ukisomea MD utaishia halmashauri tu huko wachache Ndio watapata vitengo vya Maana
-na kingine Mashirika ya Umma yenye maslahi mazuri Madaktari hawahitajiki au wanahitajika Kwa uchache,eg eGA, TCRA, EWURA, LATRA,etc
Ok tuseme umesomea huo u-Engineer, hebu nieleze kuna maengineer wangapi in total kwenye hizo Taasisi ulizozitaja?

Je unadhani wanagraduate ma-Engineer wangapi kwa vyuo vyote vilivyoko Tanzania?
 
Sasa huwa kuna kile kitengo cha mafuta alooooo.... wanarogana mpaka basi
Kumbe hizi halmashauri zinafanana tu. Hawa jamaa hata idara yao haieleweki. Na wengi hawajasomea transport wala logistic ni wajanja wajanja tu wamejipachika
 
Ok tuseme umesomea huo u-Engineer, hebu nieleze kuna maengineer wangapi in total kwenye hizo Taasisi ulizozitaja?

Je unadhani wanagraduate ma-Engineer wangapi kwa vyuo vyote vilivyoko Tanzania?
- TCRA kwa nature ya organization engineers ndiyo Wengi kuliko kada zote za ndani ya Tcra, wakati Medical Doctor hawapo.
-tra pia engineers wapo, especially Computer engineers Wakati MD hamna.
- eGA computer Engineers wapo wa kutosha while medical doctors hamna
-BoT Engineers wapo hadi Civil Wakati MD wako wangapi?
-Ewura Engineers wapo Wakati medical doctors hamna
-latra Engineers wapo Wakati medical doctors hamna
-tanapa Engineers pia wapo
Engineer anaweza akaajiriwa kama Estate Manager Kwenye organization yoyote ile, MD Iko very limited
Ni kama accountant CPA anaingia organization yoyote ile Hadi Muhimbili, mahakamani, MSD, LATRA,bot, Wcf, lakini Medical Doctor,eGA haingii kila organization ni sana sana kwenye hospitals
 
Kuna siku niliandaa report ambayo mimi ndiye nilienda kwenye tukio flani (yeye hakuepo wilayani). Aliporudi akakuta nakala 1 pale mezani (zingine kwa DC, DSO, DED, OCD nilikuwa bado sijapeleka), akaisoma mara kadhaa kadhaa kisha akawa ame-stuck kwenye page ya mwisho yenye jina na sahihi yangu. Lengo lake kumbe lilikuwa abadilishe jina langu aweke lake (aliniomba soft copy). Mkuu wa Divisheni akamwambia acha hivo hivo kwasababu aliyeenda sio wewe. Jamaa alikubali kishingo upande ila cha moto nilikiona [emoji3][emoji3]. Kukatokea kuna vikao vi-4 ndani ya siku 1, aliingia vyote peke yake. Anasaini hiki anadanganya amepata emergency kumbe anaenda kingine anasaini pia hivo hivo. Nikasema duh kazi ipo.
Wakuu wa idara wengi sana tamaa sana pamoja na maslahi mazuri waliyonayo hawaridhiki.
1. Posho ya nyumba
2. Posho ya mawasiliano
3. Usafiri
4. Salary super scale
5. Bajeti ya kuendesha ofisi
Na mengine mengi tu wanapata
 
Kuna siku niliandaa report ambayo mimi ndiye nilienda kwenye tukio flani (yeye hakuepo wilayani). Aliporudi akakuta nakala 1 pale mezani (zingine kwa DC, DSO, DED, OCD nilikuwa bado sijapeleka), akaisoma mara kadhaa kadhaa kisha akawa ame-stuck kwenye page ya mwisho yenye jina na sahihi yangu. Lengo lake kumbe lilikuwa abadilishe jina langu aweke lake (aliniomba soft copy). Mkuu wa Divisheni akamwambia acha hivo hivo kwasababu aliyeenda sio wewe. Jamaa alikubali kishingo upande ila cha moto nilikiona [emoji3][emoji3]. Kukatokea kuna vikao vi-4 ndani ya siku 1, aliingia vyote peke yake. Anasaini hiki anadanganya amepata emergency kumbe anaenda kingine anasaini pia hivo hivo. Nikasema duh kazi ipo.
Vipi wanakulipa vizuri au ndo hivyo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom