HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nasikilizia pdf ya February, mkuu.
Pole sana na usisite kupambana.Sasa zidisha maombi Kwa mwenyezi Mungu,hayo unayopitia ni changamoto za kufanya uwe Imara.Utapata kazi na utasahau yote.Hilo ni darasa tu unapitia Sasa hivi.Mungu anakupeleka viwango vingine.Mungu wetu ni mwema sana.
Ukienda kupata placement utakuwa Umeiva,utachapa kazi Kwa Bidii sana na Mungu atazidi kukubariki.
 
Mkuu, asante sana kwa ujumbe wako. Umenipa nguvu jioni hii. Sina la zaidi ya kusema Amen. Ubarikiwe mkuu.
 
Mkuu, asante sana kwa ujumbe wako. Umenipa nguvu jioni hii. Sina la zaidi ya kusema Amen. Ubarikiwe mkuu.
Amen..
Mungu wetu ni mwema sana.Kuwa Imara siku zote usitetereke.Unapofanyiwa Ubaya Kuna Baraka zinatengenezwa mtu /watu wa aina hiyo usiwajibu chochote wewe fanya kazi zako ulizopangiwa Kwa Weledi Huku ukimtanguliza Mungu,nataka niseme hivi utarudi humu ndani na ushuhuda wa kupata kazi Usiwaze.
 
Daktari wa wapi? Kama umekua specific engineer wa TCRA mbona umeecha room kwa daktari wa wapi?

wa WCF? MOI? JKCI? au wa tamisemi?
  • halmashauri,
  • hata uwe doctor wa MOI,WCF,JKCI huwezi kufikia salary scale ya Engineer wa TCRA,
-tatizo ukisomea MD utaishia halmashauri tu huko wachache Ndio watapata vitengo vya Maana
-na kingine Mashirika ya Umma yenye maslahi mazuri Madaktari hawahitajiki au wanahitajika Kwa uchache,eg eGA, TCRA, EWURA, LATRA,etc
 
Kada zingine tumeajiriwa ambao tayari tuna qualifications zinazohitajika.

Mf kama ni Engineer lazima uwe Registered na ERB.

Kwa hao wa Account ndio nimeona baadhi hawana CPA na wamesisitizwa wazitafute
Kuwa registered Engineer ni process ya muda kidogo i.e experience Kwa sababu wanataka uwaonyeshe projects ulizofanya
 
Amen..
Mungu wetu ni mwema sana.Kuwa Imara siku zote usitetereke.Unapofanyiwa Ubaya Kuna Baraka zinatengenezwa mtu /watu wa aina hiyo usiwajibu chochote wewe fanya kazi zako ulizopangiwa Kwa Weledi Huku ukimtanguliza Mungu,nataka niseme hivi utarudi humu ndani na ushuhuda wa kupata kazi Usiwaze.
Amen! What a blessed day.
Mkuu, umenipa nguvu sana, siwezi elezea hapa ila tambua kuna kitu umeniongezea.
 
Back
Top Bottom