HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kumbe NAOT nako NJAAAAAAAA

Kumbe NAOT nako NJAAAAAAAA

#YNWA
NAOT achana nao kabisa, katika taasisi ambazo staff wake hawategemei mishahara basi moja wapo ni NAOT, hata staff wa tra anaweza asitie maguu kwa NAOT, naongea from experience sio story za vijiweni, NAOT auditor asie CPA(T) anaanza na salary ya 700,000+ ila kila kaz kwake ni extra duty, hapo hajaenda field kwenye audit. Ogopa ofisi ambayo haifanyiwi audit. Ndomana mtu pekee baada ya kustaf au kuacha kaz au kuondolewa kazin hawez Fanya kaz kwenye ofisi yeyote ya umma ni CAG
 
Pia bajeti yake haijadiliwi bungeni
 
Kumbe NAOT nako NJAAAAAAAA

#YNWA
Nimegundua hum ndani watoto ni wengi sana wanaoishi kwa story za kusikia kwenye vijiwe vya kahawa, hata halmashaur sio kote kwenye njaa kama inavyoongelewa, nenda hamshauri zenye mapato mengi kama Mafinga city au mufindi, ilala, nyamagana na nyinginezo uone balaa lake. Angalia hata mfanyakaz wa Hazina tu ambao nao wanatumia TGS uone kufulu, hapo nazungumzia mishe halali sio magumashi
 
Ulishasoma andiko langu juu ya njaa za watumishi wa Halmashauri za vijijini, kama Mpumbwe, Ukerewe, Momba na Tanganyika?

#YNWA
 
Back
Top Bottom