Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,719
hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha
hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha
[emoji23]wacha niwe mpoleWanafuturu ww huna kwa resma wala ramadhani ukae Kwa kutulia[emoji16][emoji16][emoji16]
And thats the spirit[emoji123].Nilikuwa nasubiri mocu admin officer lakin hatimae nimekosa onto the next one i will never give up
Watakua wameenda beach tpdc siyo poaUmu ndani hakuna aliyetoboa leo?
heee[emoji23]
hao jama wanakatisha tamaa sana yani mtu kisa yeye ana connection anaonekana kila pdfTuzidi kuibua madudu ya hawa waporaji wa haki ya mtanzania
Kwenye wengi pana mengi,i believe mambo za connection zipo,but pia wanaopata bla connection nao wapo.mwnangu alipiga NAOT zile post za kina mfwifwa kama mchumi ,leo katoboa database wizara ya ujenzi kama mchumi pia. fairness ipo wakuu ni kismart chako tuu
fairness ipo na madudu kadha wa kadha ,waendelee kuboresha huduma zao tuuhao jama wanakatisha tamaa sana yani mtu kisa yeye ana connection anaonekana kila pdf
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Hongera sana kwake, na akawe mtumishi mwema!mwnangu alipiga NAOT zile post za kina mfwifwa kama mchumi ,leo katoboa database wizara ya ujenzi kama mchumi pia. fairness ipo wakuu ni kismart chako tuu
Kwan walitaka mtu mwenye experience?MOCU ilikuwa oral yangu ya kwanza ninaiman nitaingia kwenye oral zengine. Kwa mimi kozi niliyoisoma(Public Administration) in relation to GPA,siamin kama kutakuwa na database, so kwa upande wangu i will not believe on database.
Nimekuja kugundua kuwa unaweza ukajibu vizur kabisa na usipate nafasi. Naamini nilikua na confidance nilijibu vizur tyu maana majibu yalikuwa so open.Lakin kuna sababu nyingi sana za ziada inaweza kuchakia mtu kupata nafasi:
1.Experience
2. Age
3.Upepo wa panel(minor)
Kama niongea lugha ambayo itawakera watu naomba radhi.
Jaman ww si unatusaidiaga kuleta risit ukiona majina yamejirudia[emoji2356],tuvumiliane boss hivo hivo tutafika tuHongera sana kwake, na akawe mtumishi mwema!
Mimi kama wakala wa PSRS huyo tumempendelea kama ilivyo kawaida yetu kufanya faulu.
Siwezi kuwaambia tena mvumilie maana mimi ndio natambulika kama wakala siku hizi.
Usiende huko... wala usije kujidanganya. Kuna pesa nyingi sana! Ila usithubutu.Kwa hiyo Kwa nini mochuari??! kuna dili na mm nihamishie majeshi huko[emoji2]
thanks on behalf mkuu, bado mm sawadogo maana tangu nile kichapo cha migration & NIRC Sijawa sawaHongera sana kwake, na akawe mtumishi mwema!
Mimi kama wakala wa PSRS huyo tumempendelea kama ilivyo kawaida yetu kufanya faulu.
Siwezi kuwaambia tena mvumilie maana mimi ndio natambulika kama wakala siku hizi.
Mange si mpaka hela auJobless wenzangu mnaonaje tumtafute mange kimambi Instagram tumuombe atupostie kuhusu PDF la database la waziri alafu taarifa imfikie mama na waziri. Pia tuseme changamoto zote utumishi wanazitupa tujue moja kuliko kunyamaza na kuvumilia vitu visivyovumilika.
Mfano kutangaza kazi za Kada ambazo database watu wapo.
Kuhusu uwazi matokeo ya oral na ijulikane nani kapita database.
Tumechoka na kupitia maumivu mengi plus gharama kwa kuhangaika na utumishi. Tusikubali kudanganywa kama watoto wakiona tumelalamika wanatoa PDF za kuzugia tena ndogo page hadi 1 alafu cha ajabu watu majina yanajirudia
SASAIVI NI MWENDO WA KUSOMA JINA KWA JINA HADI KIELEWEKETuzidi kuibua madudu ya hawa waporaji wa haki ya mtanzania
Nilkua natania tu mkuu siwez kulala na marehemu naogopa.Usiende huko... wala usije kujidanganya. Kuna pesa nyingi sana! Ila usithubutu.
Usiniulize kwanini ila mdau mwingine atakayeona hii atanipokea na kukueleza mabalaa yake na matokeo/madhara yake.