Hongera sana Comrade fanikiwa zaidi.Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Nashukuru mkuu naomba sana vijana tupate kazi mazingira yetu ya kitanzania ni magum SanaAISEE MUNGU ANAFANYA HONGERA SANA Twinawe NA JUMAPILI NITAENDA KANISANI KUKAZIA MAOMBI WOTE HUMU TUPATE ASEE NA WALIOPATA AWAONGOZE NA TOBA YA KULALAMIKA TUSAMEHEWE,,,,
Pole mkuu , muda wako utafika ,
Kitenge banaAcha kuwa desperate Mkuu.
Pole sana mkuu hope uendelee kujaribu wakati wako ukifika utapata.Habari zenu.
Mim ni mtafuta ajira na nimekuwa nikiufuatilia huu uzi lakini kwa ID nyingine.
Nilikuwa nasikilizia asali ya tpdc, ila pdf leo limetoka na nimekosa asali..
Nina swali
1. Kuna mtu yeyote alikuwa anasikilizia asali alafu akakosa (yan alifanya oral kbsa), na kwenye app status akaandikiwa not selected for oral baada ya pdf kutoka?
2. Niliwah kufanya interview oral OSHA mwaka 2020
Kwenye website status inasema bado selected for oral
View attachment 2564170
ila kwenye app status inasema not selected for oral (means hata kwenye database sikuwepo)
View attachment 2564172
Sasa hii ya tpdc, status kwenye app na website zote bado zinasema selected for oral even baada ya pdf leo kutoka. Hii inamaanisha nipo kwenye database? (Best loser[emoji848])
Website
View attachment 2564178
AppView attachment 2564181
Mwisho, hongeren wote mliopata asali.. kuna wana watatu nawajua wamepata asali leo la tpdc (wawili) na mnh (mmoja).. na hawana hata connection
Kuanzia June mwaka jana hadi sasa hivi, huu ndio uzi wangu pendwa, kila nikiingia JF brake ya kwanza ni humu.Mwifwa ndugu hapo ndo unaharibu cv yako.
Nakushauri kuwa kama zamani, uvumilivu ni sifa mojawapo ya mtumishi wa umma.
Hongera sana mkuu Mungu amekuinua , na iwe hivyo kama ni kweli usemayoNashukuru mkuu naomba sana vijana tupate kazi mazingira yetu ya kitanzania ni magum Sana
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Status huwa haibadiliki baada ya oralHabari zenu.
Mim ni mtafuta ajira na nimekuwa nikiufuatilia huu uzi lakini kwa ID nyingine.
Nilikuwa nasikilizia asali ya tpdc, ila pdf leo limetoka na nimekosa asali..
Nina swali
1. Kuna mtu yeyote alikuwa anasikilizia asali alafu akakosa (yan alifanya oral kbsa), na kwenye app status akaandikiwa not selected for oral baada ya pdf kutoka?
2. Niliwah kufanya interview oral OSHA mwaka 2020
Kwenye website status inasema bado selected for oral
View attachment 2564170
ila kwenye app status inasema not selected for oral (means hata kwenye database sikuwepo)
View attachment 2564172
Sasa hii ya tpdc, status kwenye app na website zote bado zinasema selected for oral even baada ya pdf leo kutoka. Hii inamaanisha nipo kwenye database? (Best loser🤔)
Website
View attachment 2564178
AppView attachment 2564181
Mwisho, hongeren wote mliopata asali.. kuna wana watatu nawajua wamepata asali leo la tpdc (wawili) na mnh (mmoja).. na hawana hata connection
Hakika Mungu ni mwema na mke wangu anajifungua saa yeyote kutoka sasaNimefurahi sana Kuona ndugu yetu umelamba asali,nakumbuka zilivyotoka za TRA uliongea Kwa hisia Kali sana,ya kuwa mke wako anatarajia kujifungua,na una madeni mengi,Leo hii umesubiri na Umepata kazi.Hakika Mungu ni mwema sana.Wakati wa Mungu ni Wakati sahihi.Hongera sana Mwamba.Mungu alipanga Uwe huko ulikopangiwa Leo.
Ukawe Mtumishi Mwema.Na hongera sana....
Amen boss[emoji120]Ahsante sana mdogo wangu nakuombea nawe siku moja ufeel navyofeel
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tatizo unapokuwa desperate unakuwa hautumii ubongo at 100% saaana utatumia 0.00000001% ya ubongo haswa wewe hapo yaani matumizi yako ya hii organ muhimu ni kulenga tundu la maliwatoni ili gogo lisiwe nje na pengine kuvukia barabara, unajinasibu ni mtoto kutoka familia zenye ukwasi lakini una haha kama mtu mwenye minyoo ya safura na hajala.Kitenge bana
Tulivokubaliana ni kua SELECTED FOR ORAL ni umepass bt hatujui kwa kiwango gani so ukikosa ni probably unabak kwenye database.
Mkuu hongera sana sana ukawe mtumishi mwema, na ukawatumikie watanzania vizuri, PSRS haki ipo ni suala la muda tu, wanaojua wanajua tu.Ahsante sana mdogo wangu nakuombea nawe siku moja ufeel navyofeel
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Anawauzia kina mshana vifaa sio[emoji23]Kule kuna pesa sana kuna jamaa anakwambia hakosi 50,000 kwa night Moja.
Hongera sana sana mkuu!Nashukuru mkuu naomba sana vijana tupate kazi mazingira yetu ya kitanzania ni magum Sana
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Yale maji kwa lita wanauza ghali sana. Mambo yako yakigoma psrs nitafute Niku link na muuzaji hutojutia . Za kuambiwa changanya na zakoAnawauzia kina mshana vifaa sio[emoji23]
Hongera sana mwamba Twinawe ukawe Mtumishi mwema. MDH wabaki na majina Yao sasa.Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ah wapi ingekua ndo hivo bas kila mtu angetumia hyo njia akapataYale maji kwa lita wanauza ghali sana. Mambo yako yakigoma psrs nitafute Niku link na muuzaji hutojutia . Za kuambiwa changanya na zako
Kitenge punguza makasiriko Boss,Tatizo unapokuwa desperate unakuwa hautumii ubongo at 100% saaana utatumia 0.00000001% ya ubongo haswa wewe hapo yaani matumizi yako ya hii organ muhimu ni kulenga tundu la maliwatoni ili gogo lisiwe nje na pengine kuvukia barabara, unajinasibu ni mtoto kutoka familia zenye ukwasi lakini una haha kama mtu mwenye minyoo ya safura na hajala.
Tutumie ubongo vizuri tutafika.
Hongera sana mkuu.Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app