Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,768
- 126,702
Lilikuwa linanyima watu nafasi.naona wamelifanyia kazi jambo hili mkuu
Hongera kwao kwa kutusikiliza na kulifanyia kazi.
Lilikuwa linanyima watu nafasi.naona wamelifanyia kazi jambo hili mkuu
Mungu ni mwema sijawahi comment sana humu il nimepata TARI
Mkuu umeongea maneno matatu safi sana, naimani muhusika ataishi humo na ninaongezea asisahau kujiongeza kimaisha(Multiple source of incomes) kadri atakavyojaariwa.Hongera sana mkuu,
Kumbuka kutoa shukurani Kwa hatua hii muhimu uliyopata ktk maisha yako. Pia, usisahau kujipongeza.
Na mwsho, ukawe mtumishi mwenye kufata màadili ya kazi yako.
cha ajabu atakuja mtu kufufua mada ya status.
Hii kitu tuachane nayo.
Yah ni kweli mkuu ni ngumu kuisha huu mjadala wa statusHuu uzi kila siku wanakuja watu wageni, Kwa hyo mada kama hizo hazitakwisha. Na wakishazoea nao watashangaa kama ww unavyoshangaa sasa.
Daaah kweli mme advance sasa[emoji3][emoji3][emoji3]Sio kufufua kufufua tu mada ya status, bado tunamdai "screen shot" hajatuma. Na wengine wakija hapa wasisahau kuambatanisha "screen shot" ya status.
🤣🤣🤣Daaah kweli mme advance sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Shukurani sana kaka. Kaziiendelee tutafika tu the day is ComingAhsante kwa mrejesho mkuu.
Mapambano yaendelee
Status iko vile vile kaka km nilivyoisemea, nadhani watu wa screenshot wawe wa NOT SELECTED. ili tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wale wa NOT SELECTED huwaga husema, hizo ni status za "washkaji" zao, hivyo hufaamu kwa maneno ya kuambiwa tu, 🤣Status iko vile vile kaka km nilivyoisemea, nadhani watu wa screenshot wawe wa NOT SELECTED. ili tuone
ahahahaahahahah, Watu wanacheza na neno "NOT". Ukiliona tu lazima akili ihame, bora usilione ili uwe na tumaini na neno labda nitakuwepo "database" na kama kuna mtu kapata kazi na neno "NOT " huyo mtu ana ushuhuda wa KiMUNGU na wa kipekee lasivyo ni connection tu.Umeongea kwa hisia sana mkuu [emoji1787]
Kwanza "Not"yenyewe rangi nyekundu, hivi mnaelewa maana ya rangi nyekundu, tusilete utani tuseme status hazina maana pale tu yako inasoma haina neno hilo hapo ndiyo useme haina maana.Hizi inshu za not selected zipo hiyo yangu niliipata baada ya oral ya IAE. PDF ishatoka cjatoboa .. Ila tusivunjike moyo wakati wa Mungu ukifika na cc tapata asaliView attachment 2527285
Dah pole sana kaka.Wakati wa Mungu ni sahihi sana.Kikubwa tusikate tamaa kwenye kila hatua...Hizi inshu za not selected zipo hiyo yangu niliipata baada ya oral ya IAE. PDF ishatoka cjatoboa .. Ila tusivunjike moyo wakati wa Mungu ukifika na cc tapata asaliView attachment 2527285
Kweli ndugu waelimishe.Kwanza "Not"yenyewe rangi nyekundu, hivi mnaelewa maana ya rangi nyekundu, tusilete utani tuseme status hazina maana pale tu yako inasoma haina neno hilo hapo ndiyo useme haina maana.
Hahahaa nakuona unajionoa Hapo Mzee wa UDSM....Ukisubiri PDF lako la NovemberUmenistua sana kijana
Yaaan nimekurupuka maana hii ya Nov 28 ni kama imesahaulika[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni jambo jema sana...Kama kweli wameacha huu mfumo, ni jambo jema sana na ni mojawapo ya kitu nilikipigia kelele sana humu
Mkuu kwa uchunguzi wako wa harakaharaka umeona kwa Sasa wametoa hii issue ya double/multiple placementsKama kweli wameacha huu mfumo, ni jambo jema sana na ni mojawapo ya kitu nilikipigia kelele sana humu