Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,613
Duuuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!! Kazi Iendeleeee!!! Nasema Kazi iendeleee, [emoji16]Wakuu huu mkeka una mshikeli kidogo kwa upande wa ASSISTANT DRUG INSPECTOR II wa TMDA.
Kuna watu wawili walishaajiriwa tangu February 2021 ila majina yao yanaonekana tena kwenye mkeka wa leo.
SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO walishaajiriwa tangu 2021.
screen shot hii yenye majina mengi ni ya tarehe 16 February 2021 na hii yenye majina machache kwa upande wa Assistant Drug Inspector ni ya leo. Angalieni hayo majina.
Sekretarieti ya Ajira njoo mtoe ufafanuzi tafadhali.
Wapambanaji, uwanja ni wenu sasa kuwasuta hawa PSRS kwa kutoa hili boko View attachment 2559772View attachment 2559774
Sent using Jamii Forums mobile app