Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,748
- 14,958
Hata kama ni 1yr contract.. Kuna mazingira hapo.
(Kuna watu walienda kufanya usahili kusindikiza wenzao)
(Kuna watu walienda kufanya usahili kusindikiza wenzao)
Ndo hivyo na wale wenzangu na mm wa MDA LGA tusidharau pdf yoyote ile hata iwe na KB moyaaa sawa??!!! Jitafute huenda ukajikuta humo.Nimegundua mkeka wa LGA MDA unaachiwa mdogo mdogo...kuweni makini kuchungulia kila pdf inayotoka
It was one year contract bossHill inatakiwa tuwatag psrs kabisa
Zote ni permanent and pensionable
Hapa sasa ndio tunaoneshana umwamba wa kung'amua mambo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Fact kwa factsNami nimeingia mzigoni,nimeona hilo tangazo la TMDA ilikua kumbe ni ajira ya mwaka mmoja na lilitoka 2020 November,wakafanya interview 2021 nadhani.So i guess alimalizaga akaendelea kusaka asali sehem nyingine mpaka alipopata hyo tunayoiona leo.
Hii ni pdf ya hilo tangazo la TMDA
View attachment 2559798
Asante pia kwa kutujali,mwingine hata asingehangaika kwa sababu ashapata asali.Hapa sasa ndio tunaoneshana umwamba wa kung'amua mambo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Fact kwa facts
PSRS wamepona maana tungewasema hadi wakome
Ze Heby utata tayari umetenguliwa
Sijui walirenew huo mkataba maana jamaa ninayemfahamu alikuwa anaendelea kupiga kazi kama kawaida ilihali mwaka 1 ulishakataHata kama ni 1yr contract.. Kuna mazingira hapo.
(Kuna watu walienda kufanya usahili kusindikiza wenzao)
Kwenye kazi inatuhitaji kuhoji na kudadisi mambo ili uweze kuifanya vizuri. Kazi yeyote ile lazima iwe hivyo, kwa hiyo hatuna budi kuwa wadadisi.Asante pia kwa kutujali,mwingine hata asingehangaika kwa sababu ashapata asali.
Hata kama ni 1yr contract.. Kuna mazingira hapo.
(Kuna watu walienda kufanya usahili kusindikiza wenzao)
Vipi Laboratory technologist(MUCE)?Waliopata PURA hawa sio wamelamba asali ila wameondoka na mzinga wa nyuki kabisa
Mwifwa umetisha mkuu,nakuvulia kofia 😂😂😂 alwaye ni mtu wa facts unaejda evidence sio polojo 😅Tatizo hamleti ushahidi, angalau mimi nimejitahidi kuleta nilichokiona, hii pia inatokana na mimi kuwa mdadisi kwa kuangalia placement mbalimbali za miaka ya vyuma.
Kingine kilichonisaidia kati ya hao wawili, mmoja namfahamu, sasa nilipoona jina lake leo ndio nikashtuka na kwenda kuconfirm kwenye mkeka wao wa mwaka 2021
Sasa kwann wanasema 26 NovemberNadhan wanatoa kidogo kidogo,mana trade officer tulifanya 16 feb
Labda kwa kua wa feb alikua mmoja tu[emoji848]Sasa kwann wanasema 26 November
Amna naona hata mchumi na Mtakwimu wote walipiga MDAs feb 18Labda kwa kua wa feb alikua mmoja tu[emoji848]
Afisa mifugo wote hao tulipiga nao febAmna naona hata mchumi na Mtakwimu wote walipiga MDAs feb 18
Kuna watu nlikua nawacheki nkawa najiuliza mbona wameomba zile 3 za mwaka jana na walipata ndio nikajua zile zilikua ni za 1 year za sahv ni permanent
Hongera ukawe mtumishi mwemaGuys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH
Shukran sanaHongera ukawe mtumishi mwema