Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,768
- 126,702
Tatizo hamleti ushahidi, angalau mimi nimejitahidi kuleta nilichokiona, hii pia inatokana na mimi kuwa mdadisi kwa kuangalia placement mbalimbali za miaka ya vyuma.Tukiwasema PSRS tunaonekana Wanoko.. Haya WATOTO wa Maskini njoeni huku
Kingine kilichonisaidia kati ya hao wawili, mmoja namfahamu, sasa nilipoona jina lake leo ndio nikashtuka na kwenda kuconfirm kwenye mkeka wao wa mwaka 2021