HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kuna kapdf huko wakuu
Wakuu huu mkeka una mshikeli kidogo kwa upande wa ASSISTANT DRUG INSPECTOR II wa TMDA.

Kuna watu wawili walishaajiriwa tangu February 2021 ila majina yao yanaonekana tena kwenye mkeka wa leo.

SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO walishaajiriwa tangu 2021.

screen shot hii yenye majina mengi ni ya tarehe 16 February 2021 na hii yenye majina machache kwa upande wa Assistant Drug Inspector ni ya leo. Angalieni hayo majina.

Sekretarieti ya Ajira njoo mtoe ufafanuzi tafadhali.

Wapambanaji, uwanja ni wenu sasa kuwasuta hawa PSRS kwa kutoa hili boko
Screenshot_20230320-220224.jpg
Screenshot_20230320-220659.jpg
 
Wakuu huu mkeka una mshikeli kidogo kwa upande wa ASSISTANT DRUG INSPECTOR II wa TMDA.

Kuna watu wawili walishaajiriwa tangu February 2021 ila majina yao yanaonekana tena kwenye mkeka wa leo.

SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO walishaajiriwa tangu 2021.

screen shot hii yenye majina mengi ni ya tarehe 16 February 2021 na hii yenye majina machache kwa upande wa Assistant Drug Inspector ni ya leo. Angalieni hayo majina.

Sekretarieti ya Ajira njoo mtoe ufafanuzi tafadhali.

Wapambanaji, uwanja ni wenu sasa kuwasuta hawa PSRS kwa kutoa hili boko View attachment 2559772View attachment 2559774
Tukiwasema PSRS tunaonekana Wanoko.. Haya WATOTO wa Maskini njoeni huku
 
Huu ni mkeka wa February 16, 2021 wenye majina ya SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO ambao wameonekana kwenye mkeka wa leo tena.

Hili suala la multiple placement tulishalizoea endapo sahili zimefanyika kwa kufuata ila sio kama hivi ambapo imepita miaka 2 na watu wanaendelea na kazi kama kawaida.View attachment 20211602461133TANGAZO LA KUITWA KAZINI 16 FEBRUARI, 2021.pdf
 
Back
Top Bottom