HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dogo una umri gani?
Vyuo vikuu: Warden,Admission officer II, Exam Officer II, Wahasibu,HR, Library wenye degree scale ni PGSS 6, 1.2M
Watu wa maabara Degree Scale ni PUSS 4, 1.4M, Diploma PUSS 2, laki 8+
Fanya vizuri homework yako kabla hujaleta ubishi
Daah hizo nafasi hapo nazisaka sana sijui wanazitoaga lini
 
Jaman kuuliza sio ujinga 😂 hivi Wakandaji kwenye saili zao wanazofanya posho wanalipwa sh?
 
Naomba kujua hawa wa ajira za mikataba ya mwaka mmoja huweza kutumia muda gani kuita watu kwenye written interview baada ya tarehe ya mwisho ya kuapply ?
 
Lazima mimi nitakuwa mkubwa kwake nipo kwenye utumishi wa Umma tangia 2014. Nilishahudhuria interview moja kati ya wale pannelist kutoka chuo kikuu ni Classmate wangu tumemaliza nae chuo mwaka mmoja sasa hivi yeye ni Dr. Yeye tangia tumalize chuo 2012 hakupumzika kusoma.
Huyo ni miongoji mwq wale madogo walio graduate hvi karibuni mwishoni mwa muhura wa magufuli na mwanzoni mwa huu mhura wa samia
 
Back
Top Bottom