Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,305
- 1,567
Sorry naomba niulize swali! Hivi mbona now days hakuna matangazo yoyote ya kazi kutoka shirika letu la umeme Tanesco! Nakumbuka post zao za mwisho waliajiriwa na utumishi kwa mkataba tena wa mwaka mmoja! Ama ndo wameshakuwa confirmed kazini kwa ajira ya moja kwa moja??Tangazo lolote la ajira za umma likisema hata two months contract terms husilipuuze hizo huwa ni methodology za kushort list watu
mfano tangazo linasema two months contract barua ya ajira unasainishwa three years renewable contract hii ipo sana kwenye ajira za serikalini