HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haifiki atakuwa ni 900k,
Haiwezekani Tutorial alipwe 1.6m laboratory sc apate 1.4m huo ni uongo
mkuu sio kila kitu unakipinga inabidi uwe na evidence ,,na ndo ipo hivyo afu tutorial yeye kupanda salary scale ni rahisi akirudi kusoma tu inabadilika kutoka puts 1(tutorial assistant) hadi puts 2(masters=assistant lecture),,akienda kusoma tena akirudi inabadilika inakuwa puts 3(phd=lecture).

Akiendelea kupublish anachange senior lecture puts 4 ,ass professor puts 5 hadi full professor ambayo ndo ukomo wake, ila administrative staff au technical staff kupanda hadi miaka kadhaa ipite kaka...afu kingine cha kukusaidia hamna staff anayefanya kazi chuo kikuu mwenye degree mwenye basic salary chini 1M.
 
Usibishe endelea kuuliza upate maarifa
-kwanza hakuna Muhasibu Mwenye Degree 1, Muhasibu ni Yule CPA T
-Kama mtu mwenye Degree ya accounting tu analipwa 1.2m basi CPA atakuwa analipwa 1.6m+ sawa na tutorial assistant si ndio?
- na kiutumishi haiwezekani mtu mwenye degree ya maabara atofautiane Kwa laki2, kama mtu mwenye degree ya Human resources analipwa 1.2 basi mtaalam wa maabara alitakiwa alipwe more than 1.6m
 
Sikutaka wakose mkuu,kwani mtu akipata au akikosa Mimi sipati faida au hasara.
Nahofia kazi za contract kuwa kichaka cha watu kupata kazi ofisi husika
kuingia kwenye kaz za mkataba zikipitia utumishi ni kipengele so kama aliweza mwanzo kuipata, ya pili( permanent) pia akipata bado ni reasonable. Bila shaka wanadeserve kupata.
 
Taasisi kupata kibali cha ajira ya mkataba ni rahisi. Why? Because mishahara mnalipa wenyewe.

Taasisi kupata kibali cha ajira ya kudumu ni ngumu. Why? Mishahara inatoka hazina kwa hiyo wage bill ya serikali inaongezeka.

Ukute hao walipata kibali cha kuajiri kwa mkataba cha 18 people ila walipoomba cha permanent wakapewa 3.

Ndio maana wametangaza nafasi walizopewa. Nashangaa kwanini wametangaza. In my opinion, walitakiwa wawachukue directly walioko kwenye contract sababu walipitia utumishi vile vile.
Sawa mkuu kwa ufafanuzi.

Suala la wao kutangaza hizo nafasi 3 ilihali wana watu 18 wanaojitolea nafikiri ilikuwa ni kutoa uwanja sawa kwa hao wote 18 kuzipambania
 
sasa hivi utumishi mnajitahidi kutupia pdf😄😄😄 mfululizooo.
Fanyeni mmalizie za mwaka jana ili muanze kuwarambisha asali vijana wa jan na feb bila malalamiko. Tunawaaminia sana jipangeni muondoe tatizo la ucheleweshwaji wa placement mtakua bora kwa asilimia kubwa sana.
 
Dogo una umri gani?
Vyuo vikuu: Warden,Admission officer II, Exam Officer II, Wahasibu,HR, Library wenye degree scale ni PGSS 6, 1.2M
Watu wa maabara Degree Scale ni PUSS 4, 1.4M, Diploma PUSS 2, laki 8+
Fanya vizuri homework yako kabla hujaleta ubishi
😅😅😅😅😅😅JF siachi kutembelea maana huwa knanipa raha sana
Jf stress staki mwenyewe,mkuu umenichekesha sana
A ny dogo apambane na home yake
 
😅😅😅😅😅😅JF siachi kutembelea maana huwa knanipa raha sana
Jf stress staki mwenyewe,mkuu umenichekesha sana
A ny dogo apambane na home yake
Lazima mimi nitakuwa mkubwa kwake nipo kwenye utumishi wa Umma tangia 2014. Nilishahudhuria interview moja kati ya wale pannelist kutoka chuo kikuu ni Classmate wangu tumemaliza nae chuo mwaka mmoja sasa hivi yeye ni Dr. Yeye tangia tumalize chuo 2012 hakupumzika kusoma.
 
Back
Top Bottom