Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,770
- 126,705
Ahsante sana mkuu kwa ufafanuziTangazo lolote la ajira za umma likisema hata two months contract terms husilipuuze hizo huwa ni methodology za kushort list watu
mfano tangazo linasema two months contract barua ya ajira unasainishwa three years renewable contract hii ipo sana kwenye ajira za serikalini