yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,585
- 4,590
Hongera sana boss,ukawe mtumishi mwema sasa.Guys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH
Hongera sana boss,ukawe mtumishi mwema sasa.Guys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH
DuhAmna naona hata mchumi na Mtakwimu wote walipiga MDAs feb 18
Naona apo TMDA, BASATA na OSHA wamepungua sasa
Nimepata kakaCckondoz leta mrejesho mkuu, TMDA hiyo ishatoka
Thanks so muchHongera sana boss,ukawe mtumishi mwema sasa
Hongera Sana mkuuGuys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH
Nafikiri haiwezekani, mlango wa kuingilia ni mmoja tu ambao ufaulu sahili za psrs.Hivi mtu akiomba Intern or volunteering job taasisi ya serikali ya EWURA .
Na amemaliza degree ya. Uhasibu na fedha (BAF) GPA ya 3.5 je anaweza Pata nafasi?
Shukran sanaHongera Sana mkuu
niuzie hiyo software mm niwe naifanya hiyo kazi PSRS shame on you hovyo kabisaYaan haw jamaa bahat yao tu sahiv nimepata kazi ya kuniweka busy otherwise kila PDF ningekuw nairun ktk statistical instruments zangu lazima zilete queries.. Na ningewasagia kunguni mpk waniteke
leta tangazo tuone hapaYeah kweli bana,ilikua one year contract.
Tangazo lolote la ajira za umma likisema hata two months contract terms husilipuuze hizo huwa ni methodology za kushort list watuSijui walirenew huo mkataba maana jamaa ninayemfahamu alikuwa anaendelea kupiga kazi kama kawaida ilihali mwaka 1 ulishakata
Congratulations chief, Ukawe mtumishi mwemaGuys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH
Kuna mdada kamaliza chuo tokea 2013 ndio kapata kazi kwenye mkeka huukuna kapdf huko wakuu
very simpleHAta uku JF ukiizubaa wanakudukua TU 😂
Hongera sanaGuys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH
Hapo NAOT wanapaswa kukupatia licheo likubwa kwa ukaguzi huu.Wakuu huu mkeka una mshikeli kidogo kwa upande wa ASSISTANT DRUG INSPECTOR II wa TMDA.
Kuna watu wawili walishaajiriwa tangu February 2021 ila majina yao yanaonekana tena kwenye mkeka wa leo.
SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO walishaajiriwa tangu 2021.
screen shot hii yenye majina mengi ni ya tarehe 16 February 2021 na hii yenye majina machache kwa upande wa Assistant Drug Inspector ni ya leo. Angalieni hayo majina.
Sekretarieti ya Ajira njoo mtoe ufafanuzi tafadhali.
Wapambanaji, uwanja ni wenu sasa kuwasuta hawa PSRS kwa kutoa hili boko View attachment 2559772View attachment 2559774
kupata kazi bongo pana siri nzito mkuu,hongera kwa mlio toboa kiuhalaliWakuu huu mkeka una mshikeli kidogo kwa upande wa ASSISTANT DRUG INSPECTOR II wa TMDA.
Kuna watu wawili walishaajiriwa tangu February 2021 ila majina yao yanaonekana tena kwenye mkeka wa leo.
SAMWEL BENSON SAANANE na OLIVA ENORD MLIGO walishaajiriwa tangu 2021.
screen shot hii yenye majina mengi ni ya tarehe 16 February 2021 na hii yenye majina machache kwa upande wa Assistant Drug Inspector ni ya leo. Angalieni hayo majina.
Sekretarieti ya Ajira njoo mtoe ufafanuzi tafadhali.
Wapambanaji, uwanja ni wenu sasa kuwasuta hawa PSRS kwa kutoa hili boko View attachment 2559772View attachment 2559774
Hongera sana mkuu kwa kuondoka na mzinga wa Asali[emoji3][emoji3][emoji3]Guys nimepata TMDA.. ALHAMDULLILAH