HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa taarifa yako tu ni kwamba last week nimelamba ASALI tena Asali nzito ile nyeusiiiiii... Hata ukidilute kwa maji lita 100 utamu upo pale pale.

Endelea kujitapa Mkuu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], daaa kweli huu uzi unapitia vipindi vingi sana. Kipindi cha nyuma ilikuwa na status, ikaja placement, database, salary, sasahv watu wanavimbiana kuhusu asali. Haya bhana kazi iendeleee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msichofahamu ni kwamba MDA & LGA washaanza kutoa placement taratibu, ndio hizo nafasi mnazoana watu wanapata. Kama baadhi waliofanya usaili November washaanza kupangiwa vituo. So zingine sio database ni zile za MDA & LGA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sahihi kabisa nafasi yangu washapata watu 4 bado 2 kukamilisha idadi, pia kuna dada namfaham alipiaga oral trh 24 nov 2022 nae kalamba asali , mhasibu msaidizi. Hizo ni MDAs and LGAs wanazitoa taratibu
 
PSRS waendelee na kazi bado taasisi haziwezi kuajiri kwa usawa. Watu weusi tuna weakness sana kwenye RUSHWA na UNDUGU kama mfumo ukiwa lege lege, Mfumo wa PSRS ni mgumu sana usio na mianya ya kipuuzi.

Na ndio chanzo cha wafanyakazi wengi kukosa weledi na kuchelewesha maendeleo. Acha PSRS wapitishe chujio.
JE posho zikiondolewa , Ilo chujio litachuja mchanga
 
Ni suala la muda sawa ila kwa kucheleweshwa huku kunakoendelea haijakaa vzr!
Ukitembelea maofisi mengi ya umma utakuta kuna upungufu mkubwa wa wafanyakazi
Ukifuatilia idadi ya wenye taaluma za kuweza kufanya hizo kazi wamerundikana mtaaani...unajiuliza nini shida..tatzo lipo wapi??? Anyway mine are eyes let me be patient
Shida ni psrs 👈 Hawa wametela matatizo makubwa sana
 
Kazi za kiofisa ni Mimi mmoja wapo TRA 2020 position ya Accountant II, nilitokea database. Kutokea database haimaanishi ulikua best loser. Inamaanisha ulifaulu usahili ila nafasi zilikua chache. Mfano kwenye oral mmeingia watano but kwawakati huo nafasi ilikua 1, wakwanza kapata 90, wapili 85, watatu 70, then wawili wakapata below 50. Kiuhalisia hao watatu wakwanza wote wamefaulu, Ila kwakua nafasi ilikua moja kwa wakati huo atachukuliwa wakwanza mwenye90 then hao wawili wanawekwa database
Kwa hiyo database inabidi uwe na marks 85😂
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], daaa kweli huu uzi unapitia vipindi vingi sana. Kipindi cha nyuma ilikuwa na status, ikaja placement, database, salary, sasahv watu wanavimbiana kuhusu asali. Haya bhana kazi iendeleee...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Asali yangu sio ya hawa wababaifu hii kutoka Nchi za NATO... Haina cha selected for Null wala selected for nyoko.
 
Hivi kuna namna naweza nikafanya nisiwe nauona kabisa huu uzi?

Naomba msaada wakuu km kuna namna naweza kufanya nisiwe nakutana na huu uzi kabisa,
 
Back
Top Bottom