Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], daaaa!!!Ondoa Hilo wazo wewe subiri zile ajira sa tgs d
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], daaaa!!!Ondoa Hilo wazo wewe subiri zile ajira sa tgs d
Ilikua typing error kiongozi, nadhan atakua ameelewaHiyo sehemu ya "replacement" hawezi kuipata labda ajaribu pia kuangalia sehemu ya Placement.
Mimi kuna wadau wa karibu mno wamekula asali hapo TpA kutokea Database,,, Na kuna mtoto wa jirani hapa yeye alifanya oral ya tanapa security guard ila amekula shavu tpA kama security guard na sasa hivi anaendelea kula asaliKwa maana rahisi watu wasitarajie kuitwa kwenye taasisi kama Tra, EWURA, LATRA,tasac, TPA,tpdc, Pura, TANAPA, eGA nk nk
Apostle kuna ushuhuda uku😂😂😂Hiyo sehemu ya "replacement" hawezi kuipata labda ajaribu pia kuangalia sehemu ya Placement.
Humu ndani kuna wana wanatuangusha sana 🤣🤣Hiyo sehemu ya "replacement" hawezi kuipata labda ajaribu pia kuangalia sehemu ya Placement.
Hiyo typing error hapoo mmh 🤔 tuwe makini wasomiIlikua typing error kiongozi, nadhan atakua ameelewa
Tabia za kipumbavu sana hizo ,basi PSRS mdo awajibike kwenye hili suala wamepuyanga sana hapo
yaan usail kesho af unaita mtu leo aende dodoma
af hii tabia wanayo hata kwenye matokeo ya written
unakuta watu wamefanya written zinapita siku hata nne wanatoa matokeo ya written leo af usiku wa manane usail wa oral ni kesho
Punguza ujuaji kiongozi, mimi ni mmoja wa watu niliolamba shavu tra siku za nyuma kwa position ya Account II nikitokea databaseOndoa Hilo wazo wewe subiri zile ajira sa tgs d
Kwa taarifa yako tu ni kwamba last week nimelamba ASALI tena Asali nzito ile nyeusiiiiii... Hata ukidilute kwa maji lita 100 utamu upo pale pale.Tuliza munkari jobless
😋😋😋😋😋Mikeka iliyo bakia kwa December Ni
LATRA
OSHA
TMDA
LITA
BASATA
Ilikuwa mwaka gani?Punguza ujuaji kiongozi, mimi ni mmoja wa watu niliolamba shavu tra siku za nyuma kwa position ya Account II nikitokea database
2020Ilikuwa mwaka gani?
Nazungumzia kazi za kiofisaMimi kuna wadau wa karibu mno wamekula asali hapo TpA kutokea Database,,, Na kuna mtoto wa jirani hapa yeye alifanya oral ya tanapa security guard ila amekula shavu tpA kama security guard na sasa hivi anaendelea kula asali
Hata mimi pia nimegundua kitu hiki pia ..wameshaanza kutoa placement kwa wale wa MDA LGA hasa wale waliofanya November. Mfano ni kada ya sheria na quantity surveyor QS na wahasibu( sio afisa hesabu ) na hata muhadrolojia maabara pia nimeona.Yah ni hvyo wanazitoa taratibu za MDA & LGA, So sio wote wanaokua kwenye mkeka ni database.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu huko TRA wanachukua sana Database kama hauna habari.Nazungumzia kazi za kiofisa
Bado ila utakula placement Tantrade, wizarani, Brela au TIC. Sema aminaTrade officer hawajatoa bado isje ikawa imenipita kama mambo yenyew ndo hivi[emoji13][emoji13][emoji13]
Kazi za kiofisa ni Mimi mmoja wapo TRA 2020 position ya Accountant II, nilitokea database. Kutokea database haimaanishi ulikua best loser. Inamaanisha ulifaulu usahili ila nafasi zilikua chache. Mfano kwenye oral mmeingia watano but kwawakati huo nafasi ilikua 1, wakwanza kapata 90, wapili 85, watatu 70, then wawili wakapata below 50. Kiuhalisia hao watatu wakwanza wote wamefaulu, Ila kwakua nafasi ilikua moja kwa wakati huo atachukuliwa wakwanza mwenye90 then hao wawili wanawekwa databaseNazungumzia kazi za kiofisa
Jamaa mmbishi wakati mashuhuda tupo, anadhani database ni watu waliofeliNdugu huko TRA wanachukua sana Database kama hauna habari.
Na nafasi niliyoomba mwanzo nikaikosa haikua ya asali kubwa kuliko shavu nililopata kutokea database. Ya mwanzo ilikua Accountant wa chuo nikaikosa, nikaja kulamba shavu TRA tokea databaseKazi za kiofisa ni Mimi mmoja wapo TRA 2020 position ya Accountant II, nilitokea database. Kutokea database haimaanishi ulikua best loser. Inamaanisha ulifaulu usahili ila nafasi zilikua chache. Mfano kwenye oral mmeingia watano but kwawakati huo nafasi ilikua 1, wakwanza kapata 90, wapili 85, watatu 70, then wawili wakapata below 50. Kiuhalisia hao watatu wakwanza wote wamefaulu, Ila kwakua nafasi ilikua moja kwa wakati huo atachukuliwa wakwanza mwenye90 then hao wawili wanawekwa database
Kweli kuna mtu alifanya accountant grade II tarehe 23/11/22 amepangiwa Veta.Msichofahamu ni kwamba MDA & LGA washaanza kutoa placement taratibu, ndio hizo nafasi mnazoana watu wanapata. Kama baadhi waliofanya usaili November washaanza kupangiwa vituo. So zingine sio database ni zile za MDA & LGA.
Sent using Jamii Forums mobile app