Anhaa fresh. Ila mwezi pia ni mda mref kwan wao wanafanya michakato yote wenyew au nd ni utumishiMwaka jana walitumia mwezi kuita katika oral baada y aptitude test.
Na huwa wanaweka majina kule katika website yao.
Anhaa fresh. Ila mwezi pia ni mda mref kwan wao wanafanya michakato yote wenyew au nd ni utumishiMwaka jana walitumia mwezi kuita katika oral baada y aptitude test.
Na huwa wanaweka majina kule katika website yao.
Wanafanya mchakato wenyewe haipitii utumishiAnhaa fresh. Ila mwezi pia ni mda mref kwan wao wanafanya michakato yote wenyew au nd ni utumishi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], heri yako mkuu upo ng'ambo ya mto.Hahaha Asali yangu sio ya hawa wababaifu hii kutoka Nchi za NATO... Haina cha selected for Null wala selected for nyoko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], aiseee kumbe wale wa TGS ni second selection asilimia kubwa...sasa mbona kuna mdau anasema alipangiwa kwenye asali kubwa TRA, kwa kutokea database?NDio database ni second selection, kama ulisoma la 7 kipindi Cha nyuma utakuwa unakumbuka
Dah Yani mtu unasomea Uingereza halafu unakuja kuishia Kufanya Kazi PoliceKuna dada mmoja namjua aliitwa police. Yupo dawati la jinsia na amesomea sociology. Hajui hata kupiga saluti. Mwingine ni IT. Huyu dogo ni balaa kwenye maswala ya tech. Alisomea UK, sasa hivi yupo polisi kitengo cha cyber na hajaenda depo.
Mkuu una adimika sanaa, huu uzi umepungukiwa na watu wenye kariba kama ya kwako.Mkuu makofia360, bado mchakato wa kuingia kwenye mrija wa asali haujatiki kwa upande wako?
Kama bado, nakuombea sana kwa Mungu akufanikishie, jiandae huu mwaka hauishi, mapema sana utaleta ushuhuda humu.
Duuuu, kwahiyo wanavaaga gwanda au inakuaje?Kuna dada mmoja namjua aliitwa police. Yupo dawati la jinsia na amesomea sociology. Hajui hata kupiga saluti. Mwingine ni IT. Huyu dogo ni balaa kwenye maswala ya tech. Alisomea UK, sasa hivi yupo polisi kitengo cha cyber na hajaenda depo.
Second selection haina maana kwamba ulipata marks mbovu mkuu unaweza ukawa ulipata marks nzr ila ulizidiwa let say moja au mbili na mpinzani wako huezi sema mtu aliepta oral 85 kwmba ana marks mbovu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], aiseee kumbe wale wa TGS ni second selection asilimia kubwa...sasa mbona kuna mdau anasema alipangiwa kwenye asali kubwa TRA, kwa kutokea database?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anavaa kiraia
Bado hola mkuu vipi kuna chochote?Mkuu Twinawe vipi una updates yoyote ya MDH.
Sisi tunapenda haraka, ila tufahamu kuna taratibu za kiofisi. mfano zile za mwaka jana walikuja kugundua kuna watu walitumia vyeti feki na nadhani walikuja kugundua wakiwa katika mafunzo. sidhani kama wataruhusu hali hiyo itokee tenaAnhaa fresh. Ila mwezi pia ni mda mref kwan wao wanafanya michakato yote wenyew au nd ni utumishi
Amina sana ndugu yangu nina imani katika mungu na sala zako zikasindikize baraka hizo inshallahMkuu makofia360, bado mchakato wa kuingia kwenye mrija wa asali haujatiki kwa upande wako?
Kama bado, nakuombea sana kwa Mungu akufanikishie, jiandae huu mwaka hauishi, mapema sana utaleta ushuhuda humu.
Bado sijapata taarifa yoyote
Dah noma sana, wangewachukulia hatua kali za kisheria ili watu wakome. Anyway, ngoja tusubiri.Sisi tunapenda haraka, ila tufahamu kuna taratibu za kiofisi. mfano zile za mwaka jana walikuja kugundua kuna watu walitumia vyeti feki na nadhani walikuja kugundua wakiwa katika mafunzo. sidhani kama wataruhusu hali hiyo itokee tena
Nasikia dar kuna vituo vya tuition kabisa juu ya usaili psrs unakumbushia ya chuo? Kuna mwamba nilimsikia akionge,yeye alienda kupiga usaili wa tra akakutana na watu wanaulizana vituo wanavyosoma tuition😂 watu wana hasira na asali mzeeAisee kbsa mkuu ngoj tule shule trtbu kk
Mkurugenzi alisema watachukuliwa hatua. mimi niliiona hiyo taarifa katika taarifa ya habari kipindi wanamaliza mafunzoDah noma sana, wangewachukulia hatua kali za kisheria ili watu wakome. Anyway, ngoja tusubiri.
Ila hiyo si sabab ya kuchelew. Sasa km mwaka jana walitumia mda mwing hivo na bado wakakutana na hayo kwaio mara i watumie miez miwili sasa auvp?Mkurugenzi alisema watachukuliwa hatua. mimi niliiona hiyo taarifa katika taarifa ya habari kipindi wanamaliza mafunzo
Mbona kama watu wameshaitwa kama sikoseiMnaofaham mtujuze kuhus Oral za PCCB watatoa majina lini?
Mwaka jana walitumia mda gani kuita watu oral ?
Sorry nimechanganya mafile hapa, bado aiseeMbona kama watu wameshaitwa kama sikosei
Hahaaa, we jamaa umenistua nikajua nd tyr niahapigw pangaSorry nimechanganya mafile hapa, bado aisee