Kwa upande wangu naona PSRS Wana afadhali maradufu.
Siku hizi watoto wa masikini wanapata kazi
Sahili zikirudi kwenge taasisi binafsi tumekwisha
Mambo ya-
"Mwambie aje aanze kazi jumatatu"
"Baba kanituma.."
"nipe utamu basi nikupe kazi..."
"Nipe milioni 1 nikufanyie connection..."
"aaah yule si wa machame, Kagera, same... Mlete tu"
Hayo mambo yatarudi kwa Kasi kubwa sana.
Ni kweli utumishi Wana mapungufu yao ni jambo zuri kutafuta mbinu za kuyapunguza mapungufu kama sio kuyaondoa kabisa
Watoto wa masikini wote pigeni Sala zenu mandate ya kufanya usaili isirudi mashirikani, mtakuwa mmekwisha.
Mimi binafsi Niko serikalini miaka 9 nasaka mrija mpya wa asali huu nilio nao Sasa niwaachie wengine jobless wa mtaa