HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi kuna wadau wa karibu mno wamekula asali hapo TpA kutokea Database,,, Na kuna mtoto wa jirani hapa yeye alifanya oral ya tanapa security guard ila amekula shavu tpA kama security guard na sasa hivi anaendelea kula asali

Mkuu makofia360, bado mchakato wa kuingia kwenye mrija wa asali haujatiki kwa upande wako?

Kama bado, nakuombea sana kwa Mungu akufanikishie, jiandae huu mwaka hauishi, mapema sana utaleta ushuhuda humu.
 
Mimi kuna wadau wa karibu mno wamekula asali hapo TpA kutokea Database,,, Na kuna mtoto wa jirani hapa yeye alifanya oral ya tanapa security guard ila amekula shavu tpA kama security guard na sasa hivi anaendelea kula asali
Na TPA toka wameita kazi ni mda mrefu....Kunaonekana kunamapungufu !Tuzidi kumuombea Mama(rais) azidi kutujari wanae kwenye mirija ya Asali......
 
Kwa waliofanikiwa kuingia oral kipindi kile na kupata kuanzia 50 wote waliitwa kazin. Ndo tangazo likatoka tena
Sio wote walioitwa TRA !!!!Kuna ndugu yanguTena upande wa diploma ndo waliwapa kipaumbele wanawake wengi sanaaa!!!kumbuka walitoa data base zaidi ya watu 100 tofauti na tangazo linavyojieleza....
Ninapojiuliza wanaotoka oral nao kuna watu wanaandikiwa Not seleted for Oral ina maana wapo below 50%au hawakuattend siku ya usail
 
Ni kweli Raisi Samia hanashida kabisa.

Shida ipo kwa aliyewateua
Mfano huyu km wa psrs ni mwizi kabisa, anawaza posho TU muda wote.

Huyu ni WA kupiga mawe nyumban kwake
Aiseeee hebu uwe unasoma unachopost sawa humu hatuonani ila nafsi zinaonana hebu nafsi yako ikushuhudie kwa tuhuma isiyo na ushahidi.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], daaa kweli huu uzi unapitia vipindi vingi sana. Kipindi cha nyuma ilikuwa na status, ikaja placement, database, salary, sasahv watu wanavimbiana kuhusu asali. Haya bhana kazi iendeleee...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Evolution of Uzi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], lazima upitie hatua mbali mbali
 
Kuna mambo ya kipuuz sana hii nchi ,kwa nyomi la kitaa na unemployment iliyopo ni bora hivyo vyuo wapunguze udahili , its common sense ,huwezi kuwa unazalisha maelfu kila mwaka na kuwadump kitaa bila sehemu ya kuwapeleka au alternative ya kuwapa kusustain life tena umewasomesha Kwa billions kama ruzuku na mikopo ya elimu ya juu , unazalisha watu na elimu ya juu halafu wanaishia kuwa jobless , Hamna mbinu za kufufua sekta binafsi na kuiboost ili imeze hao jobless + ajira za serikali nazo ndio hivyo kizungumkuti na utumishi , result ni chaos .

Ni kama vile hii nchi hatuna planners na watu makini wa kukaa , kutafakari na kuangalia mambo kwa mapana ,
Povu lote hili ni kwasababu ya "UJOBLESS"
Kunywa maji mengi, jiandae vya kutosha na endelea kupiga usahili, mda wako ukifika utatoboa, bi mkubwa anamwaga ajira sana siku hizi.
 
Kumbe kuna uwezekano wa kupelekwa PT...hapo sijui ndo utatambulika kama Police pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dada mmoja namjua aliitwa police. Yupo dawati la jinsia na amesomea sociology. Hajui hata kupiga saluti. Mwingine ni IT. Huyu dogo ni balaa kwenye maswala ya tech. Alisomea UK, sasa hivi yupo polisi kitengo cha cyber na hajaenda depo.
 
Kuna dada mmoja namjua aliitwa police. Yupo dawati la jinsia na amesomea sociology. Hajui hata kupiga saluti. Mwingine ni IT. Huyu dogo ni balaa kwenye maswala ya tech. Alisomea UK, sasa hivi yupo polisi kitengo cha cyber na hajaenda depo.
Waliitwa kutoka wapi mkuu au ndo mambo ya kupeana asali kienyeji?
 
Habari ya asubuhi wakuu, naomba uliza hizi system ya mtu mwenye diploma Kisha akaupgrade academic qualification na kuweka degree kwa sasa anaweza tena kuomba kupitia qualification za diploma nijuavyo ilikuwa inakataa ila juzi hapa naona Kuna mtu imemkubalia. Hii imekaaje?

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom