profession ganiJamani mimi nilifanya MDA na LGA za November, huo mkeka nautafuta kweli siuoni
Bila kusahau taasisi za vyuo vikuuKwa maana rahisi watu wasitarajie kuitwa kwenye taasisi kama Tra, EWURA, LATRA,tasac, TPA,tpdc, Pura, TANAPA, eGA nk nk
TRA ndo mabingwa wa database sasa kama hujui hahahah!Kwa maana rahisi watu wasitarajie kuitwa kwenye taasisi kama Tra, EWURA, LATRA,tasac, TPA,tpdc, Pura, TANAPA, eGA nk nk
Sawa mkuu, ila Benja Hospital ni databaseunajisahaulisha kuhusu MDA za november au? for proof angalia internal auditor veta na quantity surveyor tpc, linganisha na pdf la mda (kuitwa usaili)
Duh so keka la MDA LGA bogi ndo lishaanza katwa,tuwe makini na kila placement inayotoka sio?Yah ni hvyo wanazitoa taratibu za MDA & LGA, So sio wote wanaokua kwenye mkeka ni database.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikufanya, hata hivyo sikuwa na sifaVipi ulifanya mkuu?
Et na mm ndo nljua hivo,asante kunifumbua macho boss.Watu wasichofaham wanafikiri psrs watatoa mkeka wa placement ulioandikwa MDA & LGA, kumbe ki uhalisia haiko hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
TRA&TPA wanatoa watu sana data base.....Tanapa toka sekretarit Imeazishwa sijawai kusikia ajira ya inahusu administration(wahasibu) yoyote wametoa !!!!!Kwa maana rahisi watu wasitarajie kuitwa kwenye taasisi kama Tra, EWURA, LATRA,tasac, TPA,tpdc, Pura, TANAPA, eGA nk nk
Ondoa Hilo wazo wewe subiri zile ajira sa tgs dTRA ndo mabingwa wa database sasa kama hujui hahahah!
Ndio kuweni makini na kila placementDuh so keka la MDA LGA bogi ndo lishaanza katwa,tuwe makini na kila placement inayotoka sio?
Sawa boss,asante
Ingia kwenye web ya psrs nenda sehem ya placementHuo mkeka uko wapi
OTrade officer hawajatoa bado isje ikawa imenipita kama mambo yenyew ndo hivi[emoji13][emoji13][emoji13]
Sawa,asanteHao hawajaanza kuitwa bado
O
I'm speechless now!Sawa,asante
[emoji23]haya mambo bana,acha tuI'm speechless now!
sehem ya replacement