HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nina imani na psrs .

Wale tunasubiri database la muhagama tujaribu kuwa Wapole kidogo jana nilipata bahati ya kuzungumza na afisa mmoja wa psrs.

Swali langu lilienda direct kuhusu mkeka wa database kama alivyosema Jennester Mhagama.

Jamaa alisema hivi ni kweli mkeka utakuwepo lakini mpaka sasa haijulikani ni lini kwa jinsi serikali inavyofanya kazi unaweza shangaa inapita hata miaka miwili kwa sababu mpaka sasa hakuna utekelezaji wowote wa hili suala .

Waziri alisema ndio ila watekelezaji ni psrs na wao wanasubiri mpango kazi kwa maboss na miongozo ya namna ya kulitekeleza hilo ila haiwezi kua ndani ya huu mwaka wa fedha.

Nawasilisha wakuu naomba msinipige mawe mimi nimewasilisha ujumbe tu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wanasiasa wataenda kuchomwa moto mkali sana kwa mungu kulikua na sababu gani ya kudanganya vijana sasa
 
Database inatema cheche mm mwenyewe ni mmoja wapo niliopataga via data base na nimeona watu wengine leo nao wajua nilifanya nao wamekula asali ya database, haya mambo ni suala la muda tu safi sana.
Ni suala la muda sawa ila kwa kucheleweshwa huku kunakoendelea haijakaa vzr!
Ukitembelea maofisi mengi ya umma utakuta kuna upungufu mkubwa wa wafanyakazi
Ukifuatilia idadi ya wenye taaluma za kuweza kufanya hizo kazi wamerundikana mtaaani...unajiuliza nini shida..tatzo lipo wapi??? Anyway mine are eyes let me be patient
 
Database naona wanatoa mdogo mdgo kuna mtu tulifnya nae interview mwaka jana mwezi wa tisa akapita oral lakini hakupta placement lakin leo kapata taasisi x sehemu ambayo hakuomba na hawakuita interview kwenye iyo position it's better tukaendlea kuwa watulivu PSRS Wafanyekazi yao japo wapo slow na mpungufu hayakosi,,ila kuna familia leo zimepta asali ni jambo lakushukuru Mungu
 
Yah ni kweli...speed iko very slow...tuendlee kuomba mungu
 
Huu uzi kwa sasa umejaa watoa lawama kuliko wafariji. Negativity imechukua nafasi kuliko positivity. Kuna muda nasoma humu hizi comment naishia kushukuru kimoyo moyo kwa kulamba asali maana ningekuwa na hali mbaya sana kimawazo kupitia comments za humu
Ndugu, kwanza nikupe hongera kwa kulamba asali. Sina muda mrefu kwenye uzi huu, ila nimejifunza mambo mengi kupitia uzi huu.
Negative comments zilizopo ni kawaida kwenye uzi popular na unaogusa interests za wadau wengi.
BInafsi, huwa nachukua mambo positive na mambo negative huwa nayaacha hapa hapa.
Bado naendelea kusubiri placement, na kwa wale wanaosubiri placement, tuendelee kuvuta subira na kumuomba Mungu atupe ujasiri na uvumilivu, kwani siri ya maisha ya mtu aijuae ni Mungu pekee.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
PSRS waendelee na kazi bado taasisi haziwezi kuajiri kwa usawa. Watu weusi tuna weakness sana kwenye RUSHWA na UNDUGU kama mfumo ukiwa lege lege, Mfumo wa PSRS ni mgumu sana usio na mianya ya kipuuzi.

Na ndio chanzo cha wafanyakazi wengi kukosa weledi na kuchelewesha maendeleo. Acha PSRS wapitishe chujio.

Alokwambia PSRS hakuna rushwa nani??
 
Database naona wanatoa mdogo mdgo kuna mtu tulifnya nae interview mwaka jana mwezi wa tisa akapita oral lakini hakupta placement lakin leo kapata taasisi x sehemu ambayo hakuomba na hawakuita interview kwenye iyo position it's better tukaendlea kuwa watulivu PSRS Wafanyekazi yao japo wapo slow na mpungufu hayakosi,,ila kuna familia leo zimepta asali ni jambo lakushukuru Mungu
mlipiga nae post gani, na kaenda the same post??
 
Database naona wanatoa mdogo mdgo kuna mtu tulifnya nae interview mwaka jana mwezi wa tisa akapita oral lakini hakupta placement lakin leo kapata taasisi x sehemu ambayo hakuomba na hawakuita interview kwenye iyo position it's better tukaendlea kuwa watulivu PSRS Wafanyekazi yao japo wapo slow na mpungufu hayakosi,,ila kuna familia leo zimepta asali ni jambo lakushukuru Mungu
Jobless tuwe wavumilivu Tu Mungu atatenda makuu kama umepita oral mwaka jana ninaona Baraka zinakuja ...shuhuda mwingine [emoji867]
Ila tusiache kuchochea kuni
 
Back
Top Bottom