Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,237
- 5,698
hadi nmekasrika sana kwa huyo mhanga aliepiga oral af akaletewa mauza uza
PSRS wawe wakali kwenye haya masuala wao si ndio wanaotoa kibali cha utumishi au mm ndo sielewi vizuri hapo?
Isije ikawa wanachukua tu watoto wa " baba kantuma" , hivo vi pdf vya mchongo kb nina mashaka navyo ,Period , kama ni kutoa mkeka watoe mkeka moja ulioshiba ieleweke , watu walioko Data base wachukuliwe wapangiwe kazi waende ,kuna uhaba wa watumishi ,Taasisi kama TANESCO sijui hata mara ya mwisho kuajiri ilikuwa ni lini ,ina maana watumishi kule huwa hawafi au kustaafu ?, Hivi vi pdf kama texts za mtu anayetongoza mke wa mtu ,ni upuuz .Sio kuwajua,VETA hawakutangaza nafasi za post zilizochukua watu kwenye pdf leo ,kwa hiyo hao ni wa database moja kwa moja
Enough of this rubbish.