Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,769
- 126,702
Siwajui ila taasisi walizopangiwa hazijawahi kutangaza nafasi ileunawajua kumbe, hongera.
Siwajui ila taasisi walizopangiwa hazijawahi kutangaza nafasi ileunawajua kumbe, hongera.
Sio ndugu zangu na wala siwajui.Kiongozi Ndugu zako Nini Hawa?
Ndiohii pdf ya leo kuna unaye mfahamu mkuu?
pamoja afsaNdio
Kazi iendelee, naamn mambo yanaendelea kuwa mazuri mdg mdg, kikubwa ndugu zangu ukiipata fursa ya oral jitahidi kuipiga mwingi, kisha sali matokeo yake utayaona tu km hivi leo watu wanavyosherehekeaAhsante kwa ufafanuzi mkandaji
Hata watoe pdf ya GB unaweza usiwemo pia. pamoja na jitihada zetu lakini kama wakati wako haujafika huwezi kutoboa. tuwapongeze waliopata. na tuwe na matumaini siku yetu itafika.kwa hzi pdf za KB ,Kutoboa utumishi lazima uwe na kismart sana
Htr tuzidi kuomba mungu...waliopata hongerni sana mukawe watumishi wema mkumbuke ugumu wa kupata mrija itawasiaidia kuwa waadilifuHata watoe pdf ya GB unaweza usiwemo pia. pamoja na jitihada zetu lakini kama wakati wako haujafika huwezi kutoboa. tuwapongeze waliopata. na tuwe na matumaini siku yetu itafika.
Mwanangu au turudi kwenye majeshi [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]?kwa hzi pdf za KB ,Kutoboa utumishi lazima uwe na kismart sana
Wanavyoandika 23-28Nov waliofanya usail wanamaanisha nn!!!Hujamuelewa Mwifwa,ni kwamba Veta hawakutangaza nafasi za kazi katika post hizo walizopangiwa wadau,hii inamaanisha hizo post zote ni kutoka database na mm nakubaliana na mwifwa sijawai kuona tangazo la veta lenye post zilizochukua wadau leo katika pdf
Kuna taasisi walifanya usaili, wengine databaseWanavyoandika 23-28Nov waliofanya usail wanamaanisha nn!!!
Wewe nae mjinga na limbukeni kauli ya watoto maskin ilikua ya mwendazake kila mtu ana haki ya kupata kazi awe tajir au maskin hivyo usiwatetee psrs kwa kuwahadaa maskinKwa upande wangu naona PSRS Wana afadhali maradufu.
Siku hizi watoto wa masikini wanapata kazi
Sahili zikirudi kwenge taasisi binafsi tumekwisha
Mambo ya-
"Mwambie aje aanze kazi jumatatu"
"Baba kanituma.."
"nipe utamu basi nikupe kazi..."
"Nipe milioni 1 nikufanyie connection..."
"aaah yule si wa machame, Kagera, same... Mlete tu"
Hayo mambo yatarudi kwa Kasi kubwa sana.
Ni kweli utumishi Wana mapungufu yao ni jambo zuri kutafuta mbinu za kuyapunguza mapungufu kama sio kuyaondoa kabisa
Watoto wa masikini wote pigeni Sala zenu mandate ya kufanya usaili isirudi mashirikani, mtakuwa mmekwisha.
Mimi binafsi Niko serikalini miaka 9 nasaka mrija mpya wa asali huu nilio nao Sasa niwaachie wengine jobless wa mtaa
Safari ni ndefu kwa jobless.......inataka uvumilivu!Hizi update za Nov zikipita inamaana haupo Data base
Waliwai kutangaza ajira mwaka jana kati ya mwenzi wa 6-8Hata shirika la posta pia halijawahi kuzitangaza hizo nafasi, wamewatoa kwenye database