Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,885
- 4,605
Hahahahaha, kabisakabisa na iwe hvyo nasi tumeliki ndingaMkuu umsema kazi yako itakuwa ya field kwa sana. Hapo lazima upate perdiem.
Subaru utapata, tena utakuwa unaitumia weekend kula bata maana siku za kazi uko zako huko field