HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwe
Hii skendo iliwahi kutokea pia huko nyuma tena mwaka jana kama sio mwaka juzi hizi incidences za watu kuvujishiwa paper za mitihani zipo pia nadhani wenyeji wa jamii forum mtakuwa mashuhuda wa hili kwenye hizi nyuzi tena moja ilikuwa ni ile ya 2021 kazi za TRA ile mitihani ilivuja,majitu yaliingia kwenye vyumba vya mitihani na "NONDO" ,hii ni aibu kwa utumishi ,nadhani watakuwa wakifanyia kazi yale mapungufu ,

Ingawa bado ni kwa upande wangu naona utumishi ni better off than hao taasisi binafsi maana huko ndio nuksi kabisa , cha muhimu warekebishe mapungufu


Sekretarieti ya Ajira
Utawasikiwa Wana tetea watoto wa wakulima , kumbe wao Ndio majizi makubwa.
Raisi wetu mpenda haki ona. Uhozo wa Hii taasisi yako
 
Sekretarieti ya Ajira
Utawasikiwa Wana tetea watoto wa wakulima , kumbe wao Ndio majizi makubwa.
Raisi wetu mpenda haki ona. Uhozo wa Hii taasisi yako
Hivi unajua Kipindi hicho Katibu alikuwa nani? Xavier Daud ndio alikuwa mkandaji mkuu, baadae akaja kuletwa Kitenge. Hilo doa la kuvuja pepa lazima itakuwa sababu mojawapo ya kuondolewa kwenye ile nafasi
 
Kinachobakia ni kuanza, yote ni mipango tu ya kwenye makaratasi but hata hiyo miaka mitatu nitakua na zaidi ya hiyo mfano juzi tumeenda seminar wametoa around 750K, kusimamia na kusahiisha mitihani unaokoteza okoteza, nilipo huku nimekuta hawawezi kuandaa matokeo kwenye Excell, na Mimi kwenye hayo maswala ndio mambo yangu, nimetengeneza mifumo Mimi na kulipwa😀😀 na harakati za hapa na pale, Sasa ukiamua kusave kwa ajili ya baadae au kula Bata ni wewe, nilichokiona humu wengi wamezaliwa maisha mazuri sana ndio maana wanashangaa mtu kusave 300k per month, na kuishi kwa 370k 😁😁😁
Laki 3.7 kwa mwezi, kwa siku ni kama 12,000/= kwa familia ya mke na mtoto mmoja inahitaji kupambana zaidi mkuu na usihamie kwanza mjini maana nusu ya hiyo hela itaishia kwenye Kodi ya nyumba
 
Kinachobakia ni kuanza, yote ni mipango tu ya kwenye makaratasi but hata hiyo miaka mitatu nitakua na zaidi ya hiyo mfano juzi tumeenda seminar wametoa around 750K, kusimamia na kusahiisha mitihani unaokoteza okoteza, nilipo huku nimekuta hawawezi kuandaa matokeo kwenye Excell, na Mimi kwenye hayo maswala ndio mambo yangu, nimetengeneza mifumo Mimi na kulipwa😀😀 na harakati za hapa na pale, Sasa ukiamua kusave kwa ajili ya baadae au kula Bata ni wewe, nilichokiona humu wengi wamezaliwa maisha mazuri sana ndio maana wanashangaa mtu kusave 300k per month, na kuishi kwa 370k 😁😁😁
mm nina digrii ya uchumi ila hapa nimeokoteza kitu,umeiva sana
 
Kwan mkuu tatizo nini? Pepa ngumu au uwapendi tu jamaa au wamekufnyia figisu ukakosa mrija
Bureaucracy kwenye kufanya kazi,
Inapelekea wizi wa mitihan.

Matatizo Yao , hakuna hata Moja lililorekebishwa, mpaka Raisi Samia aingilie kati ndio utaona PDF za kb.
 
Ilikua ni walimu wa science woote, haijalishi ni headmaster/second master Sema huyo atakua ni mpenda Hela [emoji16] headmaster hawajaenda.
Ni Mwl wa Sayansi(Phyz na Hesabu), ila alishapanda cheo kawa Head Master. Labda alitumia kigezo cha Mwl wa Sayansi.

Kikubwa ni hela kama ulivyosema hapo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], haitakiwi kulaza damu
 
Back
Top Bottom