Formula ya PAYE ni ndefu sana simply fanya hivi:-
salary 2,500,000
PSSSF ni 5% (assumption)
So to calculate PAYE
salary 2,500,000
Less PSSSF (2,500,000*5%)
So Goss salary 2,375,000
Chukua hiyo gross nenda kwenye PAYE calculator ya TRA iweke uone.
NB. Allowable deduction huwa ni approved retirement contributions hii ya ku less na NHIF ili kupata gross salary ya ku calculate PAYE,hapana labda kama sheria imebadilika.
Ila NHIF,HESLB,WORKERS UNION watadeduct waajiri wako kisha upate Net pay ya kupeleka home.