HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ulifanya option nzuri kwa maana uliangalia nature ya familia uliyotoka
Hilo la fani unayotaka unaweza kupambanis sasa kwakua upo kwenye mfumo wa ajira pia endelea kutupia maombi utumishi utapata penye unafuu zaidi
Kuna jamaa namfahamu nae alisoma education ili apate ajira tu lakini ndoto yake ni IT baada ya kuingia kwenye ajira kasoma diploma ya IT miaka 2 kiutumikia field anayo penda huo ni mfano tu
Ukipambana inawezekana
Unajua kama ningekua na diploma ndio ingekua rahisi, maana nasoma bachelor ya kitu kingine then halmashauri wanafanya categorizations nadhani wanakuhamisha idara nyingine, mfano Niko na bachelor tayari nikienda kusoma eg law, nikirudi hata kama nikibaki halmashauri nitaanza na mshahara wa TGS D ambao nilianza nao miaka nyuma.
 
Ulifanya option nzuri kwa maana uliangalia nature ya familia uliyotoka
Hilo la fani unayotaka unaweza kupambanis sasa kwakua upo kwenye mfumo wa ajira pia endelea kutupia maombi utumishi utapata penye unafuu zaidi
Kuna jamaa namfahamu nae alisoma education ili apate ajira tu lakini ndoto yake ni IT baada ya kuingia kwenye ajira kasoma diploma ya IT miaka 2 kiutumikia field anayo penda huo ni mfano tu
Ukipambana inawezekana
Sijajua pia, mfano nikienda kusoma IT, computer science je naweza omba kazi huko utumishi wakati nimeshaajiriwa huku local government?..maana wanasema Kuna mfumo wa malipo unaitwa Lawson, ukishaajiriwa ni ngumu kuomba ajira idara nyingine, unaweza pata ndio Lakini mfumo ukakukataa sijajua ukweli wa Ili.
 
Kukopa sio lazima ni utashi wa mtu tu, mfano Mimi Kila mwezi bank wananikata 300k Kama akiba tokea nilipoanza ajira, Niko nafanya mchakato wa kuondoka huku poroni after 3 years nadhani nitakua na 10,800,000 ambayo sijakopa kwa kuanzia harakati sio mbaya.
Utaishi maisha ya nyoka kula unga mkavu kwa miaka yote 3. Uombe Mungu hiyo biashara utakayoianzisha kwa akiba yako ya miaka 3 iende vizuri ila ikifa ndio mwanzo wa umasikini wako. Au utasave tena miaka 3 mingine?
Hahaaa
 
Sioni kama biashara itakufa unajua kwanini haitokufa?...baada ya hiyo miaka 3 ambayo nitakua nimefungua biashara sitogusa chochote humo kwenye biashara kwa mahitaji binafsi (ushauri wa mzee wangu)...na salary inakua full so nitatumia salary kuendesha maisha na biashara ikijiendesha yenyewe.

Lakini pia biashara kufa inawezekana but Mimi sioni ikitokea Io kitu.
 
Inalambwa sana huko, wanakulaga hadi Lunch bure[emoji3][emoji3]
Yes hapa niliwahi fanyia research yang hapo! Yaaan nilifanyia hapo bure....vifaa hawakunitoza hata senti
Na msosi mchana nilikuwa nakula na staff[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa wiki tatu..
Na mashine nlokuwa natumia ilikuwa inalala on inakausha samples...aiseeee Mungu awabless hawa jamaaa....
 
Ata TBS kuna lunch ya bure.....wadau nkipata TMDA au basi.....[emoji1787]
Mhhhhh...nmekaa nao for almost 2 weeks sjaona hii ktu ya msosi wa bure mchana!
Nilitoboka mfukon mwangu!!!
Au mwenyeji wangu ndo hakunipatia mwongozo wa lunch inakuwagaje??
Tofauti na TMDA...hawa walinikamua mkwanja uloenda shule[emoji19][emoji19]
 
Tgts D sawa ni 776k na chenga chenga zake
Mmmh mbona hapa ni 765,000
JamiiForums-952049403.jpg
 
Back
Top Bottom