Tgs E je!TGS D kuishi Dar au Dodoma ni ANASA[emoji23][emoji119]
Ni kweli kakaNi Mwl wa Sayansi(Phyz na Hesabu), ila alishapanda cheo kawa Head Master. Labda alitumia kigezo cha Mwl wa Sayansi.
Kikubwa ni hela kama ulivyosema hapo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], haitakiwi kulaza damu
Bora umemwambia ukweli faida ya mshahara ni kile kinachobaki baada ya matumizi (saving) , pesa inakuja na matumizi usipokuwa makini hata huo utauona mdogo , mwisho wa siku ukaangukia kwenye kutafuta rushwa ambayo ina risk kibarua chako.Mkuu unavyohangaika na huo mshahra hatari...nenda kfnye kz mshahra utaukuta huko
Hawa huwa tunasema wana mteru yaani macho yao huwa hayaamini.Mkuu unavyohangaika na huo mshahra hatari...nenda kfnye kz mshahra utaukuta huko
Nenda kwenye website ya bunge.Mwenye namba ya Mama muhagama anitupie PM
Umetoa somo zuri sana chief...asante sana.Wadau bwana, naona issue za placement na status zimepumzishwa kidogo.!!
Hot story kijiweni ni mishahara na makato yake.
Ukisikia story kama umeajiriwa au unasubir placement za halmashaur unaweza ukahairisha.
All in all life standard haitokani na kiwango cha mshahara hata kidogo, mfano halisi kuna jamaa yng kabisa ameajiriwa misitu taasisi ya nje huko INGO, analipwa m.3 lkn utakuta ananikopa mimi mwenye mshahara wa ka laki 5 tu.
Haijalishi unalipwa kiasi gani the matter una save na una invest kiasi gani na huo mradi je una super return!??
Wengi wanalipwa pesa nyingi lkn zinaishia kwenye anasa au akijitahidi sana anawekeza sehemu ambayo anapoteza pesa na kila akifurukuta anaambulia hasara.
Hujawahi kuona mtu akipata pesa tu, utaona simu za ndugu wagonjwa wanamiminika au familia yako utaona mtoto kuumwa ghafra mara sijui imeibuka kesi polisi, within a short time pesa inakata na matatizo yanaisha kwa muda.
Katika haya mambo tumtangulize Mungu na kanuni zake,
Mfano; Bible inasema, usipotoa zaka/fungu la kumi, pesa zako unakua unaweka kwenye mfuko ulio toboka na mwivi ataiba.
In short even if unapokea salary kubwa, mtangulize Mungu ili ufurahie mshahara wako mnono.
Wale wa mishahara kiduchu, Mungu atakupa akili ya kuishi na kustawi.
Aliondolewa kwa fashion ya kuwa promoted au demoted?! Kua Deputy PS (Xavier) au SECRETARY (kitenge) ipi magoli sana? Xavier simpendiiii sanaHivi unajua Kipindi hicho Katibu alikuwa nani? Xavier Daud ndio alikuwa mkandaji mkuu, baadae akaja kuletwa Kitenge. Hilo doa la kuvuja pepa lazima itakuwa sababu mojawapo ya kuondolewa kwenye ile nafasi
Tatizo hatuna uelewa kuhusu TGS D, wizara zote hata wizara ya fedha entry level ni hzi TGS D ila marupu rupu ya kufa mtu, nina mwanangu yuko MOF -analipwa TGS D ila ana BM x3 series, viwanja na nyumba within 3years na nisiwe muongo hata nikikwama hapa na pale ana nipush, jah bless champ kama upo humu.TGS D kuishi Dar au Dodoma ni ANASA[emoji23][emoji119]
- Xavier Daudi alipelekwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, tafsiri yake ni kwamba amepandishwa Cheo.Aliondolewa kwa fashion ya kuwa promoted au demoted?! Kua Deputy PS (Xavier) au SECRETARY (kitenge) ipi magoli sana? Xavier simpendiiii sana
Sio Kila mtu ni TGS D, wengine ni TGS E, tgs D ni Kwa wale wenye Degree za miaka mitatu,Tatizo hatuna uelewa kuhusu TGS D, wizara zote hata wizara ya fedha entry level ni hzi TGS D ila marupu rupu ya kufa mtu, nina mwanangu yuko MOF -analipwa TGS D ila ana BM x3 series, viwanja na nyumba within 3years na nisiwe muongo hata nikikwama hapa na pale ana nipush, jah bless champ kama upo humu.
Hii kauli yako imekaa kichawi na ina lengo la kuwatia gundu wazee wa upper class GPA with honours mkuu!!!Takwimu zinaonyesha wenye GPA kubwa Huwa wanakula sana ndoige hawapatagi mchongo mapema na wanakula sana ndoige kwenye sahili
Punguza chuki dhidi ya wenzio waliohitimu vyuo vikuu mkuu.Wat tumesoma uko uko na sa hv ni employees wa TRA we wa udsm Bado unasaga rumba hahah
huyu naye msema analipwa scale ya TGS D mkuu, na hata angelipwa TGS E kavu ina maajabu gani?? ishu kubwa nikuwa serikalini kuna siri sana ambayo tuliopo nje hatujui zaidi ya kupiga ramli hapa jukwaaniSio Kila mtu ni TGS D, wengine ni TGS E, tgs D ni Kwa wale wenye Degree za miaka mitatu,
Well said mkurungwa....Wadau bwana, naona issue za placement na status zimepumzishwa kidogo.!!